Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwakwakwakwakwaaaaaa

Haki ya nani Nonda we kiboko
Nini tena bandugu?
Wewe na Mentor najua kila baada ya dakika 5 mnafanya safari ya kutembelea kale "kaofisi cha nzi na mende". Si unajua nyumba za uswahilini tena?
Hapo kamata vitabu vyote vya maombi ili tuiombee Yokohama, si unajua bana, kazi ya kuitumbua PSG si kazi nyepesi.
 
Just two goals Chelsea
Mawili tu tuepukane na aibu hiii yaani tukose UEFA mwakani daaah
 
PSG wanacheza rafu sn km Hili li Mota hili lilikua lipate kadi ya pili ya njano nashangaa anapewa Faby
Kwa nini unataka ucheze na wapinzani pungufu? Teh teh.....
Leo hata PSG wakiwa 9 uwanjani, sioni dalili kuwa Chelsea wana hamu ya kusonga mbele.
 
Just two goals Chelsea
Mawili tu tuepukane na aibu hiii yaani tukose UEFA mwakani daaah
Afadhali hope imerudi. Sasa kimbilia kwa msikiti, kanisa au hekaluni na uombe warushe maombi ya nguvu. Waombe kwa sauti na vitendo. Au huamini katika maombi wewe?
 
Hahahahaha..utakuwa Na akili ya mgando Kama kuna mshabiki wa chelsea anawaza atapita hapa..mikandambwa kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom