Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Namkubali sana Pedro rodriguez
Kuhus kikos tunaonyesha hatupo kwa ajili ya kudefence ni mashambuliz kwenda mbele...
Na ndvyo inavypaswa
 
Nahisi nitalia machozi...au awapange Mikel na Matic pamoja. Maana yake mbele lazima mtu awe sacrificed. Those guys ukiacha T. Silva pale nyuma pako easy sana. Enough attacking na kule mbele watamwacha Ibrahimovic peke yake apambane na Cahill ama Ivanovic.

Mikel is too slow for this game...i will cry nikimuona kwenye line up nahisi dah!

Mkuu kwa nini umelileta hili swala????
CHELSEA: Courtois; Azpilicueta, Cahill, Ivanovic, Kenedy; Mikel, Fabregas; Pedro, Willian, Hazard; Diego Costa.

SUBS: Begovic, Baba Rahman, Matic, Loftus-Cheek, Oscar, Traore, Remy.

PSG: Trapp; Marquinhos, Thiago Silva, David Luiz, Maxwell; Thiago Motta, Rabiot, Matuidi; Di Maria, Ibrahimovic, Lucas.

SUBS: Sirigu, Augustin, Van Der Wiel, Stambouli, Kurzawa, Pastore, Cavani.
Mkuu mzigo ndio huu uko ubaoni tunaomba maoni yako kama ndugu wa karibu wa mgonjwa,tufunge turubai mapema na michango ianze ikimaanisha mgonjwa hawezi kupona au tuende duka la dawa tukanunue panadol mgonjwa hali sio tete?
 
Nahisi nitalia machozi...au awapange Mikel na Matic pamoja. Maana yake mbele lazima mtu awe sacrificed. Those guys ukiacha T. Silva pale nyuma pako easy sana. Enough attacking na kule mbele watamwacha Ibrahimovic peke yake apambane na Cahill ama Ivanovic.

Mikel is too slow for this game...i will cry nikimuona kwenye line up nahisi dah!

Mkuu kwa nini umelileta hili swala????
Mkuu, niliwahi kukwambia, timu yetu inafanya vibaya kwa kuwa na wachezaji wazeee. Hivi bado huamini?
 
Hahahaaaaa we jamaa majibu yako bhana
herrera ,wewe hujui hizi ni zama za kutumbuana majibu na hapanakazi tu? Ngoja tuone Yokohama inavyohimili barabara za matuta au wadaraja watakosa bahasha za kununua ticket ya kuvuka na wataamua kuvuka kwa kupinga mbizi.
 
Nakucheki tu bandugu......
 
Nakucheki tu bandugu......
Umeona mafiaso nduguye abrahamovic(Ibrahimovic) ameshawasababishieni ajali. Ameangusha Tingatinga katikati ya Daraja, jamaa alim-beep kipa, kipa alisinzia. Sasa angalia swala wa Guus watakavyokimbia kimbia uwanjani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom