Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyuma kushoto acheze Kennedy.

Kati defence Matic na Fabregas.

Kati attacking Willian...Pedro...Hazard!!!

winga teleza ya PSG Kennedy ataiweza? .............. mi napendaga fabrigas akiwa huru zaidi" sema ndio hivyo Mikel+Matic imekataa kufanya kazi.
 
winga teleza ya PSG Kennedy ataiweza? .............. mi napendaga fabrigas akiwa huru zaidi" sema ndio hivyo Mikel+Matic imekataa kufanya kazi.

Kama Matic akicheza to his level, Fabregas anakuwa free sana...na ndo maana anafaa hapo kati. Anachukua kwa mabeki na ku supply mbele.
 
Kama Matic akicheza to his level, Fabregas anakuwa free sana...na ndo maana anafaa hapo kati. Anachukua kwa mabeki na ku supply mbele.
sasa ndiyo utakapomwona Hiddink mwehu, leo Mikel anaanza, matic bench! sijui Mikel kampa pepo gani huyu mzee
 
leo ni leo afe kima afe mtu darajani havuki mtu lazma psg wale kibano cha haja
 
sasa ndiyo utakapomwona Hiddink mwehu, leo Mikel anaanza, matic bench! sijui Mikel kampa pepo gani huyu mzee

Nahisi nitalia machozi...au awapange Mikel na Matic pamoja. Maana yake mbele lazima mtu awe sacrificed. Those guys ukiacha T. Silva pale nyuma pako easy sana. Enough attacking na kule mbele watamwacha Ibrahimovic peke yake apambane na Cahill ama Ivanovic.

Mikel is too slow for this game...i will cry nikimuona kwenye line up nahisi dah!

Mkuu kwa nini umelileta hili swala????
 
game must win unampanga Mikel ambaye mzito, hata pressing tatizo kwake! hii game kama kenedy yupo fit anahitajika zaidi kuliko baba rahman
 
Nahisi nitalia machozi...au awapange Mikel na Matic pamoja. ...Mikel is too slow for this game...i will cry nikimuona kwenye line up nahisi dah!
Mkuu kwa nini umelileta hili swala????
Wewe panga line up yoyote uipendayo...nimemtumia Guus huu mchango wako ili aufikirie. Hata PSG wakiwa 10 uwanjani leo, Tairi za Yokohama lazima zitolewe upepo leo.

Ubaya wa Chelsea leo watacheza, wakipanga matokeo ya 1-0 kwa hiyo watawekeza kwenye kujihami zaidi. PSG kwa upande wao watapigana wafunge lile bao 1 la ugenini ili kuhakikisha Ze bluuzz inakimbia uwanjani kama swala anayefukuzwa na Simba.

Yamebakia masaa machache ili kuujua umafiaso wa Abrahamovic wawili.
 
Naifikiria sana hii mechi sijui itakuaje leo wacha niombe wachezaji wa chelsea leo watambue bila kumiliki mpira na kufunga magoli ni shida
 
No hope, no life. Umeshakufa tayari. Endelea kuiombea Yokohama itakapotumbuliwa jipu PSG watumie sindano ya ganzi ili kupoza maumivu.

Twaweza mfunga huyu PSG ila naogopa sana siku ya leo, sijui nimepatwa na kidudu gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom