Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sijaangalia mechi niko kwa send off...nimefurahi ingawa kama naona tumecheza na Mancity B team....kama ni kweli ilitakiwa iwe cleansheet.
 
Hii game Pellegrin kaitoa Kafara

toka jana alisema wana fixture ngumu na nyingi kwa muda mfupi angeweka kikosi Dhaifu

kwani...jumatatu timu inasafiri kwenda KIEV UKRAINE kucheza na Dynamo Kiev kwenye UCL

game itapigwa jumatano na Alhamisi timu inageuka kurejea England kukabiliana na LIVERPOOL siku ya jumapili ijayo ya tarehe 28 Feb

FAINALI YA CAPITAL ONE CUP

Hakuna na namna zaidi ya kuweka kikosi Dhaifu kuanzia kiungo na Washambuliaji na kipa
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Demichel, Zabaleta, Kolarov, kumbe makinda ...........
Duh umeamua tu kubisha kwiiii kwiiii hata Pellegrin mapema alisema ataweka makinda embu angalia hata analysis za wenye mpira wao wanakwambia Youngsters wamepasuliwa ivi kila kitu lazima tuwe UKAWA aibu mkuu.
 
ImageUploadedByJamiiForums1456081027.584007.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hazard siku hizi kapooza sanaa, sema ni goli na hizo assist mbili ndio kidogo zimembeba aonekane, ila kwa runs anazofanya Pedro, hazard atajikuta akisugua benchi ............. Fabripass kapga kazi sana aisee.


Nimemaliza kuangalia replay za game...Pedro kafanya runs nyingi ila zisizo na matokeo. Pedro kafanya runs nyingi kwenye half yetu.

Hazard kwa upande mwingine kafanya runs nyingi kuelekea goli la adui...na nyingi zilikuwa final passes ni vile tu hazikuwa converted!


OSCAR kaniboajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....asipewe tena kupiga penalty. Kuna hadi pundit kaandika, "If even Caballero can predict your penalty moves, it's time to step down!!!"
 
Vipi mabingwa watetezi wa Elp? Mambo yanakwenda kama yalivyopangwa au yameparaganyika?

Mjitahidi Yokohama mshinde Champions League au mwakani mtasikia redioni tu CL na Europa L. kwa sababu kwa wapenzi wa Ze bluuz watazuiliwa kuangalia hiyo michuano kupitia mitandao, ungo au TV.

Vipi Mou alipo upo? Ntuzu, nilikupa muda wa kutosha kupunguza maumivu, natumai afya imeimarika. Ninapomuombea Magufuli na Majaliwa, hawa wameomba tiwaombee, na wewe nakuombea pia ili usiisome namba.

Umeona siku hizi hakuna mpayuko na mihemko kwa makocha na wakufunzi wa ELP, ni mabusu kedekede tu, bear hugs na kupeana mikono na pat at the back/ on the shoulder. DOMOkaya yuko wapi siku hizi?

Bandugu, nisije sahau, nilikuja kutoa mkono wa pole na kukujulia hali, wadanganyika tuna kawaida hiyo, Akilazwa Kadinali Pengo, tinakuja kumjulia hali, akilazwa Mufti Zuberi tinakuja kumpa pole na kumkumbusha kutenda dhambi adhabu yake ni mauti.

Wasalimu Mentor, Kalou, Enzo, yule mfalme anayetembea bila nguo na mzizi ingawaje menyewe inapenda kujiita hivyo kwa kidhungu.

Titaonana kwenye mazishi ndani ya wiki 2 au 3?

Media imemalizana na Domokaya, sasa inamchokonoa yule mrembo wa mashetani wekundu, rafiki na everlenk
Ahhhh kwa sasa aje tu ,halafu media za Leo zimepaisha sana Kwamba Rasmi MUFC.........,,,
 
Nimemaliza kuangalia replay za game...Pedro kafanya runs nyingi ila zisizo na matokeo. Pedro kafanya runs nyingi kwenye half yetu.

Hazard kwa upande mwingine kafanya runs nyingi kuelekea goli la adui...na nyingi zilikuwa final passes ni vile tu hazikuwa converted!


OSCAR kaniboajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....asipewe tena kupiga penalty. Kuna hadi pundit kaandika, "If even Caballero can predict your penalty moves, it's time to step down!!!"
Hongereni kwa kuwafunga Man City 'C'
 
[QUO TE="Mentor, post: 15389506, member: 12209"]tumeshazoea...! [HASHTAG]#asante[/HASHTAG] though. how have you been my Mrs. Mcharo...naona mzimu umehamia kwenu!!![/QUOTE]
Mhhhhhh!!!! Ubize tu Mcharo wangu si unajua tena timu ikiwa hivi kazi zinabana sana Hata Muda wa kuingia humu hamna.....
 
Ipondeni na kuicheka tu Arsenal wakati ninyi wenyewe mshatoka UEFA tayari.
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Similar Discussions

Back
Top Bottom