Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Visingizio vyao eti ooooh sisi tumeweka timu B, kombe ni kombe tuuu na ushindi ni uahindi
 
Ngoja leo tuwadharirishe kwanza nyie si mnataka tufanya wajinga kutupangia watoto
Na hili kombe tayari ni letu
Nyinyi city mnakosa kila kitu
 
man of the match kwa upande wangu ni Fabripass ..............
Pedro kadri siku zinavyozidi kwenda anazid kunihamasisha.

Next FA
Everton Vs Chelsea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom