Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Obi Mikel, " Hiddink has given us the freedom to play, which was what we needed."
 
Sijui Hazard ana shida gani?! makali yote kwishinei .............. yaani bora Pedro anajitahid sanaaaa. Jana kapiga kazi ya hatariii..
Hazard anajiona SuperStar kwwnye timu wakati kufunga hafungi..... Real au PSG hawatamchukua sababu sio mfungaji na zile chenga zake zimekwisha siku hizi, he is useless
 
PSG walitawala pale katikati tatizo lilikuwa link kati ya viungo na forward ndio maana uliona Verrati,Matuidi na Di Maria wote walikuwa wanapiga mashuti ya mbali kipa akaokoa
Ibra alikuwa anakuwa out of position na mara nyingi anakuwa offside ndio maana alivyoingia Cavani tu akafunga.

Hazard ni mzigo kwenye timu naona anataka kuondoka,

PSG wataanza na kikosi na formation ileile but Chelsea lazima itabadilika

1.JT anaweza akarudi so defence itabadilika

2.Je Hiddink atawachezesha Obi na Matic kwa pamoja ?

3.Nani ataanza kati ya Hazard na Oscar ?

Hii game haitakuwa nyepesi kama unavyofikiri na PSG wana viungo ambao wanaweza ku-possess mpira muda mrefu (Verrati,Matuidi,Di Maria)


Nakubaliana na wewe kua Chelsea lazima itabadilika ata PSG lazima waanze na Cavani.

Hiddink lazima awaanzishe Obi na Matic km anataka timu iwe imara.

Oscar ataanzia benchi Hazard na Pedro ndio watakao pokezana.

Najua game itakua ngumu lkn naipa nafasi timu yangu kusonga mbele
 
Hazard anajiona SuperStar kwwnye timu wakati kufunga hafungi..... Real au PSG hawatamchukua sababu sio mfungaji na zile chenga zake zimekwisha siku hizi, he is useless
Auzwe tu mana haonyeshi hata jitihada, inaniuma sana yaani mana ndio alikua my favourite player.

Hazard auzwe tu, na hiyo deal kwa PSG imuhusishe kati ya moura au de maria
 
3159D1FC00000578-3453552-image-a-81_1455830312565.jpg


LEGEND LEADER CAPTAIN...!
 
Nikikumbuka ya Stella Abijan basi huwa nakosa raha mkuu. Usikumbushe tu...

Tushapoa mkuu... Lakini hukuona kama timu tuliyocheza nayo ni tofauti na mliyoifunga (kwa kubahatisha)? Halafu tulicheza vizuri zaidi yao sema bahati haikuwa yetu. Uliangalia ball possession? Tulikuwa na 60% wao na 40%!
Ngoja nitangulize pole kwako mkuu maana baada ya saa mbili na nusu usiku utakuwa unalia.. Za masiku mengi mkuu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom