Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Vipi bado upo? Au umepata dili kwenda mjini, kwa hiyo huwezi kuvumilia maumivu?
Hapana mie nipo mbona
Amgalau tumejitahidi kupata goli moja, moja si haba kwa hii timu yetu...
Natumai mchezo wa marudio twaweza pata moja tusonge mbele au tuwafungee 2 (ingawa sidhani kama itatokea)
 
Hafi mtu wewe Aleyn
Vipi mabingwa watetezi wa Elp? Mambo yanakwenda kama yalivyopangwa au yameparaganyika?

Mjitahidi Yokohama mshinde Champions League au mwakani mtasikia redioni tu CL na Europa L. kwa sababu kwa wapenzi wa Ze bluuz watazuiliwa kuangalia hiyo michuano kupitia mitandao, ungo au TV.

Vipi Mou alipo upo? Ntuzu, nilikupa muda wa kutosha kupunguza maumivu, natumai afya imeimarika. Ninapomuombea Magufuli na Majaliwa, hawa wameomba tiwaombee, na wewe nakuombea pia ili usiisome namba.

Umeona siku hizi hakuna mpayuko na mihemko kwa makocha na wakufunzi wa ELP, ni mabusu kedekede tu, bear hugs na kupeana mikono na pat at the back/ on the shoulder. DOMOkaya yuko wapi siku hizi?

Bandugu, nisije sahau, nilikuja kutoa mkono wa pole na kukujulia hali, wadanganyika tuna kawaida hiyo, Akilazwa Kadinali Pengo, tinakuja kumjulia hali, akilazwa Mufti Zuberi tinakuja kumpa pole na kumkumbusha kutenda dhambi adhabu yake ni mauti.

Wasalimu Mentor, Kalou, Enzo, yule mfalme anayetembea bila nguo na mzizi ingawaje menyewe inapenda kujiita hivyo kwa kidhungu.

Titaonana kwenye mazishi ndani ya wiki 2 au 3?

Media imemalizana na Domokaya, sasa inamchokonoa yule mrembo wa mashetani wekundu, rafiki na everlenk
 
Hapana mie nipo mbona
Amgalau tumejitahidi kupata goli moja, moja si haba kwa hii timu yetu...
Natumai mchezo wa marudio twaweza pata moja tusonge mbele au tuwafungee 2 (ingawa sidhani kama itatokea)
Kweli mwaweza pata au mwaweza patwa mchezo wa marudio.
Nina uhakika itakuwa mechi tamu sana. Na mechi ya marudio PSG wanafungulia mbwa. "Who let the dogs out?"
 
Nimepooza kweli hila asante sana chealsea natumain mechi ijayo autoniangusha mm na wenzangu
 
Mentor na Ntuzu nafikiri mnanielewa sasa.....nitawapa hali halisi ingine soon......
PSG lazima afe Darajani na ndio mwisho wake huo.

Jana PSG wamechezewa sn kiasi wakija Darajani wanajua kabisa kua watakua na kz kubwa sn.

Terry atakuawepo na safu ya ulinzi kusimama km kawaida.

Matic atakuwepo kumsaidia Obi pale kati na kumfanya Faby acheze huru nyuma ya Costa.

Pedro au Hazard mmoja lazima aanzie benchi.

Mbona hawa PSG ni wetu tu.

Kwanza ngoja tumalize biashara na Man City weekend hii ijayo!
 
Sikuumizwa sana na matokeo ya jana kwa kweli.

Negatives:

1. MIKEL...huyu ni jipu la kutumbuliwa. Jana alinifanya nikamkumbuka Ramires. Anakimbiakimbia uwanjani na hajafanya tackling hata moja, ila kapoteza mipira mingi tu. Kwa kweli huyu hapana anafaa EPL tu huku.

2. HAZARD/OSCAR SUB: Huenda kuna tatizo kati ya Hazard na timu/kocha. Ila kwa mechi ya jana, Willian alikuwa amechoka kuliko Hazard na mimi nilitarajia yeye ndo angepumzika. Tuseme tu, SUB ya kocha haikuwa sawa na aliowaacha benchi sio kwamba wanategemewa Jumapili. Kennedy ana speed ya kutosha dakika ile ya 80 angeweza kumuingiza amtoe Willian naamini angesaidia..hata hivyo...too late!

3. AZPILICUETA: Kwa kweli alijitahidi sana...anajituma mechi zote! Ila kule kulia kuna wakati alikuwa anapwaya kiasi. Hope atajirekebisha.

POSITIVES:

1. THERE IS HOPE: Kwa jinsi PSG walivyocheza jana sio team ya kuiogopa kabisa. Wanapitika na wamafungika sana. Ni timu inayopenda kumiliki na kucheza na mpira ila sio that clinical. Wao na goli lao la offside.

2. MATIC: Atakuwa amerudi. Huyu jamaa hana mbio kama Kante ila ana akili nzuri na urefu wake utamsaidia ku-neutralize mashambulizi ya adui. Sikuamini zile kona zote na watu wao warefu wote ila hawaku-win hata moja! Atatusaidia kwenye aerial duels na ni dependent kuwapa cushion mabeki wetu.

3. IVANOVIC & CAHILL: Hata kama Terry bado hatokuwepo..I can still rely on these two kwenye mechi ya marudiano. Na jambo zuri ni kuwa, watapata mechi kama tatu za kucheza pamoja kabla ya mechi ya marudiano.

4. ABDUL BABA RAHMAN: Classic. Mwanzoni alivyopigwa chenga akateleza nilipatwa na hofu sana ila kadri game ilivyoenda aliimarika mpaka nikafurahi mwenyewe...kuna weaknesses zake ila naweza kusema kwangu mimi na kwa mechi ya jana alicheza vizuri kuliko Azpilicueta.

5. PATO: Hiddink alisema kwa maendeleo aliyonayo Pato, anaweza kuwa fit kucheza mechi ya marudiano. Natamani kuona akicheza na Costa pale mbele. 4-4-2 yaani hizo midfield iwe ni Hazard (Sub:Oscar/Kennedy) - Fabregas - Matic - Willian (Sub: Pedro)
 
tatizo hapo kwenye beki, kama Terry hatokuwa amepona, hivi akiumia mmojawapo, nani anaweza kuchukua nafasi na kumudu!
 
PSG lazima afe Darajani na ndio mwisho wake huo.

Jana PSG wamechezewa sn kiasi wakija Darajani wanajua kabisa kua watakua na kz kubwa sn.

Terry atakuawepo na safu ya ulinzi kusimama km kawaida.

Matic atakuwepo kumsaidia Obi pale kati na kumfanya Faby acheze huru nyuma ya Costa.

Pedro au Hazard mmoja lazima aanzie benchi.

Mbona hawa PSG ni wetu tu.

Kwanza ngoja tumalize biashara na Man City weekend hii ijayo!
Ball possession ngapi kwa ngapi
 
Sikuumizwa sana na matokeo ya jana kwa kweli.

Negatives:

1. MIKEL...huyu ni jipu la kutumbuliwa. Jana alinifanya nikamkumbuka Ramires. Anakimbiakimbia uwanjani na hajafanya tackling hata moja, ila kapoteza mipira mingi tu. Kwa kweli huyu hapana anafaa EPL tu huku.

2. HAZARD/OSCAR SUB: Huenda kuna tatizo kati ya Hazard na timu/kocha. Ila kwa mechi ya jana, Willian alikuwa amechoka kuliko Hazard na mimi nilitarajia yeye ndo angepumzika. Tuseme tu, SUB ya kocha haikuwa sawa na aliowaacha benchi sio kwamba wanategemewa Jumapili. Kennedy ana speed ya kutosha dakika ile ya 80 angeweza kumuingiza amtoe Willian naamini angesaidia..hata hivyo...too late!

3. AZPILICUETA: Kwa kweli alijitahidi sana...anajituma mechi zote! Ila kule kulia kuna wakati alikuwa anapwaya kiasi. Hope atajirekebisha.

POSITIVES:

1. THERE IS HOPE: Kwa jinsi PSG walivyocheza jana sio team ya kuiogopa kabisa. Wanapitika na wamafungika sana. Ni timu inayopenda kumiliki na kucheza na mpira ila sio that clinical. Wao na goli lao la offside.

2. MATIC: Atakuwa amerudi. Huyu jamaa hana mbio kama Kante ila ana akili nzuri na urefu wake utamsaidia ku-neutralize mashambulizi ya adui. Sikuamini zile kona zote na watu wao warefu wote ila hawaku-win hata moja! Atatusaidia kwenye aerial duels na ni dependent kuwapa cushion mabeki wetu.

3. IVANOVIC & CAHILL: Hata kama Terry bado hatokuwepo..I can still rely on these two kwenye mechi ya marudiano. Na jambo zuri ni kuwa, watapata mechi kama tatu za kucheza pamoja kabla ya mechi ya marudiano.

4. ABDUL BABA RAHMAN: Classic. Mwanzoni alivyopigwa chenga akateleza nilipatwa na hofu sana ila kadri game ilivyoenda aliimarika mpaka nikafurahi mwenyewe...kuna weaknesses zake ila naweza kusema kwangu mimi na kwa mechi ya jana alicheza vizuri kuliko Azpilicueta.

5. PATO: Hiddink alisema kwa maendeleo aliyonayo Pato, anaweza kuwa fit kucheza mechi ya marudiano. Natamani kuona akicheza na Costa pale mbele. 4-4-2 yaani hizo midfield iwe ni Hazard (Sub:Oscar/Kennedy) - Fabregas - Matic - Willian (Sub: Pedro)

Nkwela Mentor asante sn kwa uchambuzi wako mzuri sn

Nilisema kabla ya game kua ktk safu ya ulinzi tutegemee kuona Ivanovich akicheza nafasi ya kati sanjari na Cahill na pia Azpilicueta kurudi ktk nafasi yake ya beki kulia.

Binafsi nimefurahishwa sn na safu ya ulinzi ilivyocheza Jana na ninaomba ata km game yetu ya marudiano iwe hivyo hivyo.

Jana CB zetu wameweza kumdhibiti Ibrahimovic na hakuleta sn mazara ktk goli letu.

Dimaria yuko ktk kiwango kizuri sn lkn kwa Jana Baba aliweza kwenda nae vzr na hakuleta shida sn.

Obi alionekana kuzidiwa nguvu hasa kutokana Fabregas kufunikwa na kina Motta na baadhi ya viungo wa PSG.

Lkn PSG walikua wakihofia sn hawa watoto watatu Pedro, Hazard na Willian maana hawa na ni mafundi na wanakimbia sn. Ndio maana PSG walionekana kucheza kwa hofu kubwa wakizani lolote laweza kutokea.

Willian Laurant Blanc alimuwekea marking kubwa hasa kwasababu anajua huyu ndie mchezaji pekee wa Chelsea ambae kiwango chake kiko vzr.

Nigependa ktk mechi yetu ya marudio hawa vijana warudishwe km walivyo. Au km kutakua na mabadiliko basi Mmoja wao aanzie benchi na Faby kucheza ktk hiyo nafasi.

Tunahitaji kua na Matic na Obi ktk huo mchezo ili kuimarisha safu ya ulinzi na kurahisisha mfumo wa kushambulia sn kutoka kwa Faby na Willian na Hazae na Costa.

Ninachojua PSG watakuja Darajani kutafuta goli la ugenini tu au kupata sare yoyote ile na sisi Chelsea tunapaswa kucheza mpira wa kushambulia sn ili kupata ushindi mkubwa.
 
Ktk hiyo game ya marudiano tegemea sn Chelsea kumiliki mpira Zaidi ya PSG ns ata Jana uliona namna Chelsea walivyopunguza gape ya umiliki wa mpira ya PSG
Si kweli nategemeaaa PsG kuendeleaaa kumiliki mpiraaa na kupataa goal dk za mwanzoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom