Wenyeji tupo karibu mgeninaona wenyeji wameingia mitini...
issue ya kupanga matokeo haimuhusu coacher mkuu, coacher kazi yake ni kumanage team ipate matokeo mazuri, chaguo letu namba 1 ni simeone, the quest is, does he willing 2 leave his club? conte ni chaguo no 2Aiseee!!! Bado tupo njia panda juu ya nani awe kocha wetu.... Recently Conte ndio amekuwa akihusishwa sana na nafasi hiyo ila kwa taarifa niliyoipata ni kwamba jamaa ana skendo na kesi ya kupanga matokeo hivyo hiyo inaweza ikawa sababu ya Abramovich kumpiga chini...... Sasa sijui nani atakuwa kocha wetu
Aiseee sasa wewe unataka kunichekesha sasa kama kupanga matokeo hakumhusu kocha sasa nani muhusika? Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa habari basi ungejua kuwa Conte ndio chaguo la kwanza kwa sasa kwani Chelsea wameshakutana na wawakilishi wake.... Na Chelsea watamtangaza officially in 10 days according to reportsissue ya kupanga matokeo haimuhusu coacher mkuu, coacher kazi yake ni kumanage team ipate matokeo mazuri, chaguo letu namba 1 ni simeone, the quest is, does he willing 2 leave his club? conte ni chaguo no 2
role ya team manager ni ipi mkuu? una ushahid kuwa conte alihusika kwenye match fixing, kuhusu conte chaguo la kwanza, sijui simeone zote ni tetesi tu mkuu, chelsea board ndiyo ina awareness na nani mtu sahihi, sisi mashabiki hatujui kituAiseee sasa wewe unataka kunichekesha sasa kama kupanga matokeo hakumhusu kocha sasa nani muhusika? Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa habari basi ungejua kuwa Conte ndio chaguo la kwanza kwa sasa kwani Chelsea wameshakutana na wawakilishi wake.... Na Chelsea watamtangaza officially in 10 days according to reports