Kweli mkuu cech itabidi ajitafakariwamechafua record ya cech
cech akiwa chelsea match 9 messi goals 0
cech akiwa Arsenal match 1 messi goals 2
Tulikafunga 5-1..............bora hata sisi tumewafunga Man City D Tano, nyie kale katimu kadenmark sijui hata kanatamkwaje mlikafunga ngap? ..............
Tulikafunga 5-1..............
Majogoo wateja wa LVG hujui? Mechi nne ushindi mara nne! khe khe khe khe khe khe khe khe...........hahahahahaha ................ yaani baada ya kubahatisha, umekuja kwa speed zote. mngejua hata msingeshinda mana nawaonea huruma kwa majogoo.
Majogoo wateja wa LVG hujui? Mechi nne ushindi mara nne! khe khe khe khe khe khe khe khe...........