Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
tatizo hapo kwenye beki, kama Terry hatokuwa amepona, hivi akiumia mmojawapo, nani anaweza kuchukua nafasi na kumudu!
Kuna options mbili:
1. Matt Miazga
2. Play 3-5-2
tatizo hapo kwenye beki, kama Terry hatokuwa amepona, hivi akiumia mmojawapo, nani anaweza kuchukua nafasi na kumudu!
Ball possession ngapi kwa ngapi
Karibu sana.....
Yani unamtegemea huyo dogo aliyecheza Marekani aje kuwazuia kina Cavani,Ibra ?Kuna options mbili:
1. Matt Miazga
2. Play 3-5-2
Jana PSG walipata goli lao ktk dakika ya ngapi? Ilikuaje walishindwa kupata goli mwanzoni wakiwa kwao na huku kikosi chao kikiwa kamili?Si kweli nategemeaaa PsG kuendeleaaa kumiliki mpiraaa na kupataa goal dk za mwanzoni
Last season PSG waliwatoa hapo darajani tena wakiwa pungufu,Jana PSG walicheza vibaya usifikiri hata darajani watacheza kama janaJana PSG walipata goli lao ktk dakika ya ngapi? Ilikuaje walishindwa kupata goli mwanzoni wakiwa kwao na huku kikosi chao kikiwa kamili?
Darajani ndio wataweza wakati sisi tutakua tuna attack Zaidi?
Tunaomba waambie wenzio waliojificha warudiSijaingia kitambo sana humu,wakuu mpo poa? Sikuumia sana kufungwa 2-1 jana kwa performance ya vijana haikua mbaya sana,
Nina imani darajani hawa psg hawawezi kufurukuta na ndio mwisho wa mbio zao hapo,
KTBFFH
Ata msimu ule kabla ya huu wa Jana tuliwatoa PSG Darajani.Last season PSG waliwatoa hapo darajani tena wakiwa pungufu,Jana PSG walicheza vibaya usifikiri hata darajani watacheza kama jana
Jana PSG hawakupata goli la mapema kutokana na defence yenu, jana mlikua vizuri sana upande wa defence, niliona hadi Pedro jana alikua anarudi nyuma kukaba,Jana PSG walipata goli lao ktk dakika ya ngapi? Ilikuaje walishindwa kupata goli mwanzoni wakiwa kwao na huku kikosi chao kikiwa kamili?
Darajani ndio wataweza wakati sisi tutakua tuna attack Zaidi?
Kivipi yani tutakula nyingi wakati ktk DM kutakua na watu wawili Matic na Obi na kuwaacha Faby Hazard na Willian na Costa wakilisakama goli la PSG na huku kwa mbali Matic akiwasaidia na kufanya wachezaji wa Chelsea kua watano mbele na watano nyuma yani watatapakaa kila eneo?Jana PSG hawakupata goli la mapema kutokana na defence yenu, jana mlikua vizuri sana upande wa defence, niliona hadi Pedro jana alikua anarudi nyuma kukaba,
Ila game ya marudiano mkienda kwa lengo la kushambulia aisee mtakula nyingi.
PSG hawakucheza vibaya but walikosa mbinu za kufunga na defence ya Chelsea (TBO,Azpi,Baba,Ivanovic,Cahill ) walicheza vizuri sana,Mashambulizi ya Chelsea huanzia kwa Willian,Cesc,Ivanovic na Azpi jana muda mwingi walikuwa wanazuia ndio maana second half Costa hakuonekana kabisa.Ata msimu ule kabla ya huu wa Jana tuliwatoa PSG Darajani.
Niko online sasaivi unaweza kuniambia ni kwanini PSG Jana walicheza vibaya na kwanini utegemee kua watacheza vzr wakati kikosi cha Chelsea kitakua kimekalika wakati huo?
Naomba Mawazo yako Mkuu na uchambuzi wako.
mkuu matic na ibi hiyo ni away tactic, ukiwapanga hao wawili unairuhusu PSG ku dominate possession, which means they will going to destroy us easily, what must be done there ni we have to let our bull dog out, tufunguke, pale kati asimame matic na fab, Pedro apewe free role for defence matters, na uhakika tukiwa hivi wamekaaaKivipi yani tutakula nyingi wakati ktk DM kutakua na watu wawili Matic na Obi na kuwaacha Faby Hazard na Willian na Costa wakilisakama goli la PSG na huku kwa mbali Matic akiwasaidia na kufanya wachezaji wa Chelsea kua watano mbele na watano nyuma yani watatapakaa kila eneo?
Msiseme tu tukula nyingi bila kudadavua
PSG hawakucheza vibaya but walikosa mbinu za kufunga na defence ya Chelsea (TBO,Azpi,Baba,Ivanovic,Cahill ) walicheza vizuri sana,Mashambulizi ya Chelsea huanzia kwa Willian,Cesc,Ivanovic na Azpi jana muda mwingi walikuwa wanazuia ndio maana second half Costa hakuonekana kabisa.
mkuu matic na ibi hiyo ni away tactic, ukiwapanga hao wawili unairuhusu PSG ku dominate possession, which means they will going to destroy us easily, what must be done there ni we have to let our bull dog out, tufunguke, pale kati asimame matic na fab, Pedro apewe free role for defence matters, na uhakika tukiwa hivi wamekaaa
Asante sn Mkuu
Kwa mtazamo wangu ni kwamba PSG walikua wanacheza kwa kuogopa baadhi ya wachezaji km Hazard Willian na Pedro. Ndio maana uliona watu km kina Mota na baadi ya viungo wa kati wa PSG hawakua huru na kuamua kutumia mipara mirefu na kutegemea winga za pembeni kitu ambacho pia hakikufanya kz kwani beki za pembeni za Chelsea muda wote zilikua hazitoki ktk eneo lao.
Kuwepo kwa Pendro na Hazard na Willian ndio sbbu kubwa iliyowafanya PSG wawe butu ktk ushambuliaji.
Next game tegemea kuwaona Chelsea wakicheza kitimu kwa asilimia mia kila idara na kuwapoteza kabisa PSG.
Binafsi sioni nafasi ya PSG kusonga mbele Darajani ata wakija kucheza vipi! Tutaattack sn na kukaba sn na kukata mipira yao yote. Na tegemea kuona kadi nyekundu kwa PSG kwasababu tabia yao ya kucheza rafu kuzuia counter attack kwa Darajani wataumia.
Last season PSG waliwatoa hapo darajani tena wakiwa pungufu,Jana PSG walicheza vibaya usifikiri hata darajani watacheza kama jana
me nilizicheki post match interview zao, wanakubali match ilikuwa tight, they are more than happy to have got those points, tulikuwa hatari sana kwenye counter attackClearly hujasikiliza post match interview zao....they did their best!!!