Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ebwana weeeh obi good correction..! Make kasababisha faulu na kufanya reflection ya goli.
 
Kamesharudi tayari PSG wanapumulia mashine

Obi kafanya kosa tukafungwa na amesawazisha goli pia!
Sisi kwetu PSG hawatutishi kamwe, ingekuwa attack attack team leo tungefungwa ila possess possess team hawatuwezi, huyu na Barca hawawezi tutoa msimu huu pamoja na ubovu wetu....

Afu ukiona nimekuja kushangilia chelsea jua kufungwa ni padogo sana
 
PSG wanawahofia sn Hazard, Willian na Pedro pale mbele ndio maana wanacheza kwa kuvizia sn

Sisi wachezaji wetu
Fab, Pedro, Willian, Hazard na Costa hawa ni wazuri sana naamini wanatupa goli la pili
 
Sisi kwetu PSG hawatutishi kamwe, ingekuwa attack attack team leo tungefungwa ila possess possess team hawatuwezi, huyu na Barca hawawezi tutoa msimu huu pamoja na ubovu wetu....

Afu ukiona nimekuja kushangilia chelsea jua kufungwa ni padogo sana
Uwe unaongea haya maneno kabla ya mechi sio unasubiri mfunge goli
 
Sisi kwetu PSG hawatutishi kamwe, ingekuwa attack attack team leo tungefungwa ila possess possess team hawatuwezi, huyu na Barca hawawezi tutoa msimu huu pamoja na ubovu wetu....

Afu ukiona nimekuja kushangilia chelsea jua kufungwa ni padogo sana
Hahahaaaaaaa maneno meeeengiiiii tusikiambiane best......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom