Losing streak inaanza leo...............
Chelsea leo mna kibarua kigumu sana...
Magarasa?Ukiangalia vizuri kocha akiweza kupatia pale kati basi kibarua chetu ni kirahisi sana leo.
Hilo ni sambamba na watakaochaguliwa kukaa kati kujitoa kihali na mali...lazima wakae! Hao majamaa ni mishahara mikubwa tu wanalipwa ila ni a collection of magarasa yaliyojiona star huko walikotoka.
Niliwaambia mtashinda game vs Newcastle na mmeshinda kwa kishindo, sasa kama nilivyosema hapo awali vipigo vinaanza leo.Kama yenu ilivyoanza weekend...!
hivi kuna kama misimu miwili either mliwatoa au waliwatoa.....Ukiangalia vizuri kocha akiweza kupatia pale kati basi kibarua chetu ni kirahisi sana leo.
Hilo ni sambamba na watakaochaguliwa kukaa kati kujitoa kihali na mali...lazima wakae! Hao majamaa ni mishahara mikubwa tu wanalipwa ila ni a collection of magarasa yaliyojiona star huko walikotoka.
Kumbe huwa unapatikana humu?Naangalia ma-dm sn maana hapa Yule dogo Ruben na Obi na Faby itabidi wasimame kati kwa nguvu na pia naona uwezekano wa Ivanovich na Cahill kusimama kati then Azpilicueta kurudi beki kulia na Baba kucheza beki kushoto.
Akipanga hivyo timu itakua vzr ingawa tutakua hatuna nguvu sn ktk kushambulia kwasababu tutahitaji msaada sn ukabaji wa Hazard, Pedro au Willian km wakipangwa. Lkn hatutoweza kupoteza.
Ukiangalia vizuri kocha akiweza kupatia pale kati basi kibarua chetu ni kirahisi sana leo.
Hilo ni sambamba na watakaochaguliwa kukaa kati kujitoa kihali na mali...lazima wakae! Hao majamaa ni mishahara mikubwa tu wanalipwa ila ni a collection of magarasa yaliyojiona star huko walikotoka.

Niliwaambia mtashinda game vs Newcastle na mmeshinda kwa kishindo, sasa kama nilivyosema hapo awali vipigo vinaanza leo.
[/SIZE][/FONT]![]()
hivi kuna kama misimu miwili either mliwatoa au waliwatoa.....
09/03/2016 UEFA Champions League 2015/2016 Chelsea vs PSG
16/02/2016 UEFA Champions League 2015/2016 PSG vs Chelsea
11/03/2015 UEFA Champions League 2014/2015 Chelsea 1 - 1 PSG
17/02/2015 UEFA Champions League 2014/2015 PSG 1 - 1 Chelsea
08/04/2014 UEFA Champions League 2013/2014 Chelsea 2 - 0 PSG
02/04/2014 UEFA Champions League 2013/2014 PSG 3 - 1 Chelsea
22/07/2012 Club Friendlies 2012 [N] PSG 1 - 1 Chelsea
24/11/2004 UEFA Champions League 2004/2005 Chelsea 0 - 0 PSG
15/09/2004 UEFA Champions League 2004/2005 PSG 0 - 3 Chelsea
Huyu dogo ni mzuri wakati timu ikishambulia ila naona kama anapitika kirahisi, sijui ni uzoefu.
ndio napoanza kummis Zouma angeniwekea Ibra kwnye wallet.
wachezaji wanatakiwa wawe makini sana na mipira ya kona.
09/03/2016 UEFA Champions League 2015/2016 Chelsea vs PSG
16/02/2016 UEFA Champions League 2015/2016 PSG vs Chelsea
11/03/2015 UEFA Champions League 2014/2015 Chelsea 1 - 1 PSG
17/02/2015 UEFA Champions League 2014/2015 PSG 1 - 1 Chelsea
08/04/2014 UEFA Champions League 2013/2014 Chelsea 2 - 0 PSG
02/04/2014 UEFA Champions League 2013/2014 PSG 3 - 1 Chelsea
22/07/2012 Club Friendlies 2012 [N] PSG 1 - 1 Chelsea
24/11/2004 UEFA Champions League 2004/2005 Chelsea 0 - 0 PSG
15/09/2004 UEFA Champions League 2004/2005 PSG 0 - 3 Chelsea
Ushindi wetu leo hiii
Daaah! Wamekosea sana aisee! Mbona Hiddink anaweza tuBreaking news: deal done
New manager of Chelsea next season is...........,..............diego simeone
Huyo si alikua wa muda hidink mwenyewe hataki kua kocha wa kudumuDaaah! Wamekosea sana aisee! Mbona Hiddink anaweza tu