Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyo si alikua wa muda hidink mwenyewe hataki kua kocha wa kudumu
Hapo kama hataki ni sawa, ila kikosi cha chelsea kinaitaji kocha mtulivu kama huyo Hiddink au Ancelot kwa sababu wana uwezo mkubwa wa kumanage wachezaji na kwenye vyumba kubadilishia jezi
 
Hapo kama hataki ni sawa, ila kikosi cha chelsea kinaitaji kocha mtulivu kama huyo Hiddink au Ancelot kwa sababu wana uwezo mkubwa wa kumanage wachezaji na kwenye vyumba kubadilishia jezi
Wachezaji wakikugomea hata awe kocha wa aina gani atafukuzwa tu ancelot alifukuzwa pia akaondoka
 
Diego si kocha mzuri
Zaidi atakuja kaba tu
Ngoja niende likizo kidogo na Chelsea
 
Diego si kocha mzuri
Zaidi atakuja kaba tu
Ngoja niende likizo kidogo na Chelsea
tuna philosophy yetu, akija tutamwambia plan zetu, tunataka aendeleze vipaji vya madogo kama traore, Ruben nk, Diego yupo vizuri kwa hayo
 
"Chelseafc: Chelsea FC team: Courtois; Azpilicueta, Cahill, Ivanovic (c), Baba Rahman; Fabregas, Mikel; Pedro, Willian, Hazard; Diego Costa. #PSGCHE"
 
Leo tunashuhudia kifo cha chelsea kisha wiki mbili zijazo tunaenda mazishini pale darajani.
 
Jina : Chezea The Blauz
Kipa: Thithubutu Cartoons
Beki : Tina Car hili
Kiungo : Check Fabre Gas
Winga : Pedo
Striker : Diego Mafujo
Kocha : Gunzi Idd Ink

Kila la heri wakuu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom