Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Wachezaji wa Chelsea karibia wote wamekuwa average,kina Pulis wanaweza ku-motivate average players.Kocha atakayekuja atakuwa na kazi ngumu mnoHa ha ha ha jamaa kuwa na huruma dah.....Pulis, big sam na Harry Redknapp ndo experts wa kuokoa Relegation scare....
Squawka FootballVerified account@Squawka
