Hahaha dah utani utani mara msimu ujao watu watakuwa busy kucheza na Fulham kwenye ligi yaohahahahaha 3-2 Daraja lazidi kubomolewa..
Hongera kwa ushindi...imewauma sana!hata kama ni dk 8,kama hauwezi kushinda hata ukipewa dk 20 hutapata goli zaidi ya kichapo