Chelsea ipi ya kumfunga Arsenal yenye Sanchez na Ozil ndani?Jitahidini muwachape Gunners...hawa jamaa wana kidodomo sana, sasa hivi wanajiona washashinda game hata kabla hawajaingia uwanjani!!
Tangu lini mkawa upande wetu? Hebu mtuache na wateja wetu gunnersJitahidini muwachape Gunners...hawa jamaa wana kidodomo sana, sasa hivi wanajiona washashinda game hata kabla hawajaingia uwanjani!!
Chelsea ipi ya kumfunga Arsenal yenye Sanchez na Ozil ndani?
Sijawahi kuwa upande wenu hata siku moja, hata hii ya kutaka umfunge Arsenal ni kwa maslahi yangu binafsi!Tangu lini mkawa upande wetu? Hebu mtuache na wateja wetu gunners
Hatuhitaji dua zakoSijawahi kuwa upande wenu hata siku moja, hata hii ya kutaka umfunge Arsenal ni kwa maslahi yangu binafsi!
Masikini jeuri....wala sikuombe dua sitaki Arsenal apate 3pts kwenu basi tokeni droo............Hatuhitaji dua zako
Naona bado uko na dua zakoMasikini jeuri....wala sikuombe dua sitaki Arsenal apate 3pts kwenu basi tokeni droo............
Basi fungweni mshuke daraja!!!!!!!Naona bado uko na dua zako
SwadaktaBasi fungweni mshuke daraja!!!!!!!
Swadakta