franco15
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 518
- 208
Nonda naomba niijue timu yako maana kutwa kutukebei tutajie na we yako tujue uko wodi ganiWewe vipi?
Huu ni msimu wa Ze bluuz kutetea ubingwa wao. Msimu ndio umeanza sasa. Hii ni January. Vipi weweee?. Yokohama nafasi yake ni 1 au 2.
Hakuna kukata tamaa, come on Yoko!
Kuna ile ndugu ya Yaya ilikuwa inasema: Mind the gap!
Wewe hukuona cech pia alivyotunguliwa na majogoo ya Mafyalale kafalale. Kocha wa majogoo alifurahi kama ameshinda mechi.