Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu naona hiyo nafasi ya 14 mmeikalia tangu Moureen alipofukuzwa ... ... khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee improvement .. ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
Way offside...Rent boys doing what Rent boys do....buying matches
Abromovich kafanya tabia za kirusi kwa Refa hii pia katika zile game za 3-3 game of the season ILA upendeleo WA nguvu angefunga mchezaji Si muengereza lingekataliwa ILA Ni Terry kisheria za waamuzi linatakiwa kukubalika.
 
Refa ms.ngeeeee dakika zilishaisha...
Jamani kuweni na huruma kidogo, hii point moja walioipata leo ndio itakayo wanusuru kushuka daraja

Kheeee kheeeeeee kheeeeee
At 8min added time what a shame refa kalipwa khe khe keh khe kama kawaida yao kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee aibu! Clear offside.

Way offside...Rent boys doing what Rent boys do....buying matches

Refa kachezesha dakika 100. Aibu hii
 
Goli limeingia dk ya 97.53 nyie mnasema refa ameongeza muda!hivyo hazikutimia nane kipindi goli linaingia!
 
Yaani mpira shenzi saana,inafika mda droo unaisaka kwa hali na Mali.
Yaani Leo hii Chelsea amekua wa kustruggle droo home darajani?
Kweli kuna mda mambo yanakataa tu
 
Goli limeingia dk ya 97.53 nyie mnasema refa ameongeza muda!hivyo hazikutimia nane kipindi goli linaingia!
Hiyo haibadilishi ukweli kuwa mfungaji alikuwa off-side kwa hiyo mwamuzi na mshika kibendera wake waliamua tu kuibeba kwa mbeleko Yokohama.
 
Yaani mpira shenzi saana,inafika mda droo unaisaka kwa hali na Mali.
Yaani Leo hii Chelsea amekua wa kustruggle droo home darajani?
Kweli kuna mda mambo yanakataa tu

Chelsea have to be 'realistic' about relegation - Hiddink

Interim Chelsea manager Guus Hiddink says it is "very realistic" to say his team are in a relegation battle.
The Blues are 14th in the top flight, six points off the bottom three, and their next two league games are at home to Everton before a trip to Arsenal.

Relegation battle is realistic - Hiddink
 
Hiyo haibadilishi ukweli kuwa mfungaji alikuwa off-side kwa hiyo mwamuzi na mshika kibendera wake waliamua tu kuibeba kwa mbeleko Yokohama.

Yaani huwezi msifia hata Mfungaji bora wa mechi ya leo kwa goli murua kiasi kile!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom