Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Hazard!!!!!!
Mgonjwa ameanza kunywa uji
Hahahaha suala LA kulia mkuu halipo nina imani na Klopp kwa asilimia mingi kwanza anaanza kutupeleka Wimbledon bila shaka yoyote
Hahhaaaaa ni kuchapia tuWimbledon kuna nini? Tennis?
HAHAHAHAHAHA!..... NAJISIKIA KUCHEKA NILIPOINGIA HUMU... HAHAHAHAHAHAHAHA!
14TH! OPPS!!
MENTOR HESHIMA YAKO MKUU
Nimewamiss watu wangu wa nguvu Hongereni weekend kwetu sote Ilikuwa good.....Happy New year
Mdogo mdogo.... Ntuzu iko hapa?Chelsea 2016:
Scored 3
Conceded 0
Arsenal 2016:
Scored 1
Conceded 0
Mdogomdogo...
Sasa mourinho athibitishe mara ngapi, hana la kuthibitisha maana alishafanya hivyo na Porto.. Mbona hamumsemi mrembo guadiola anayekimbilia timu bora kama sasa anaitaka man city maana ameona ina muelekeo kama yeye mwanaume aje darajani lakini najua ni muoga hawezi fanya hivyoMdogo mdogo.... Ntuzu iko hapa?
Mourinho anarudi Ze bluuz March ili kuhakikisha ubingwa unabakia daraja bovu.
Heshima baina ya makocha imerudi across Epl, kukumbatiana na mabusu kedekede, handshakes za nguvu, sio kama zile za Mou na mipasho yake.
Inafurahisha kuona Chelsea wameanza kucheza mpira, ingawaje walikuwa pia wanaruka karate dhidi ya Crystal Palace.
Media imeanza kumtekenya Pellegrini.
Habari ingine inasema Aston Villa wanamtaka Mourinho ili asaidie hii timu isishuke daraja.
Mimi ningependa kumuona Mou huko ili athibitishe kuwa yeye ni kocha wa miujiza.
mourniho vs benitez kwenye whatsaap
Porto ni sawa na Aston Villa?Sasa mourinho athibitishe mara ngapi, hana la kuthibitisha maana alishafanya hivyo na Porto.. Mbona hamumsemi mrembo guadiola anayekimbilia timu bora kama sasa anaitaka man city maana ameona ina muelekeo kama yeye mwanaume aje darajani lakini najua ni muoga hawezi fanya hivyo