Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
This kid right here...kila siku ana-improve! He is going to be key to our backline pretty soon! Cahill needs to step up la sivyo atatafutiwa mbadala.
NB: Jana nilitafakari maneno ya pundits na critics kuwa Zouma is taking Cahill's job kwa kuwa mechi kadhaa sasa amekuwa akipigwa benchi. Badala yake nilihisi kuwa - ukiachilia fact kuwa kuna kipindi Cahill alikuwa majeruhi - anapangwa na Terry ili aweze kujifunza from the best akiwa naye uwanjani.