Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Porto ni sawa na Aston Villa?
Mou akachukue Aston Villa bana na yule Kocha wa Aston Villa, Remi Garde ndio aje daraja bovu.
Unamtaka Pep Guardiola Darajani? Kwa nini hutaki aende Man. City?
Daraja limepata mkarabati mzuri tu. Ameanza na Ze bluuz haijapoteza mchezo bado, Aendelee tu, Mzee Guus Hiddink kulikarabati daraja, tena apewe miaka 5.
Mou hawezi akaenda villa sababu sio timu ya caliber yake sasa mwambie kocha yeyote unayemjua aende Porto halafu achukue uefa tuone.... Pep ni muoga tu sio kocha anapenda vitu virahisi rahisi, mou is the best
 
Teeeehe teeeeeeeehe teeeeehe Hazarddddd
 
Attachments

  • 1452181646216.jpg
    1452181646216.jpg
    33.2 KB · Views: 26
Poleni wakuu naona chacha ngumi zinapigwa chijui nani ataamua maana hili ni tatizo kubwa. Ngoja menyewe waje khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Ngoja Mentor i n g I d i o t s alete marejesho!
 
Mou hawezi akaenda villa sababu sio timu ya caliber yake sasa mwambie kocha yeyote unayemjua aende Porto halafu achukue uefa tuone.... Pep ni muoga tu sio kocha anapenda vitu virahisi rahisi, mou is the best
Mou amechukua uefa na Yokohama? Kwa nini? Au Porto ni timu bora kuliko timu ya darajani?
Mou amechukua uefa na Real Madrid? Kwa nini? Je Porto ni timu ya caliber ya Mou kwa uefa lakini si caliber ya Mou kwa uefa?
 
Hahahahaha sasa Nonda kwani Ancelloti alichukua uefa na Chelsea? Guadiola kachukua na Bayern? Allegri pia kachukua? Porto ni timu kubwa ukilinganisha na villa, porto karibia kila msimu ipo uefa vipi villa pia inaendaga uefa?
 
2FEA3DCC00000578-0-image-a-21_1452293842505.jpg

Wakijiandaa na mtanange wa kesho dhidi ya Scunthorpe...

2FEA3FC900000578-0-image-a-30_1452293926207.jpg

Sasa mourinho athibitishe mara ngapi, hana la kuthibitisha maana alishafanya hivyo na Porto.. Mbona hamumsemi mrembo guadiola anayekimbilia timu bora kama sasa anaitaka man city maana ameona ina muelekeo kama yeye mwanaume aje darajani lakini najua ni muoga hawezi fanya hivyo
UKISIKIA PUMBA NDIO HIZI ETI PEP ANAPENDA VITU RAHISI SASA HUKO BAYERN AMEPATA URAHISI GANI WAKATI BUNDESLIGA KOMBE MARA ZOTE NI LA BAYERN HILO LINAJULIKANA SASA KAMA NI URAHISI MBONA HAJACHUKUA UEFA HAPO NA BAYERN MAN CITY HATA EUROPA LEAGUE HAJACHUKUA NA KILA MSIMU WANASPEND MAHELA KIBAO YA KUSAJILI PEP ANAKUJA MAN CITY KUJA KUISUKA TIMU MAN CITY WANAO WACHEZAJI WAZURI ILA HAWANA UZOEFU WA UEFA PEP ANAKUJA NA UTAONA VITU VYAKE KAMA ANAPENDA URAHISI ANGEENDA PSG PIA WANAMTAKA MWARAABU WA PSG ANATOA HELA KINOOMA KWA AJILI YA USAJILI
 
Hahahahaha kweli nyani haoni kundule sasa we huoni kuwa ndio umeandika pumba kwanza jifunze kupangilia maneno ndio uje tudiscuss hueleweki
 
gari limeshawaka. UEFA tunawataka Barcelona au Bayern sio PSG. hivi haifai kuomba tubadilishiwe?!
Hahahahaha hapo umenena am optimistic 2012 inajirudia underdogs tunatoka kimasomaso
 
Hahahahaha sasa Nonda kwani Ancelloti alichukua uefa na Chelsea? Guadiola kachukua na Bayern? Allegri pia kachukua? Porto ni timu kubwa ukilinganisha na villa, porto karibia kila msimu ipo uefa vipi villa pia inaendaga uefa?
Sasa rudi kule tulikoanzia. Kwa nini unataka Pep aje Yokohama?
Yokohama imekuwa kama Aston Villa? Yokohama inataka mwokozi?
Huna imani na Guus?
 
gari limeshawaka. UEFA tunawataka Barcelona au Bayern sio PSG. hivi haifai kuomba tubadilishiwe?!
Mou ndio alikuwa anazuia bus lisiondoke, alilizima moto na kuli-pack.
Hata hivyo, jaribu kuvuka kizingiti cha PSG hao wengine utakutana nao ukiepuka kipigo kutoka kwa PSG.
 
Hahahahaha hapo umenena am optimistic 2012 inajirudia underdogs tunatoka kimasomaso
hilo halina ubishii mdau!' naona historia ya 2012 ikijirudia FA na UEFA darajani.

Mou ndio alikuwa anazuia bus lisiondoke, alilizima moto na kuli-pack.
Hata hivyo, jaribu kuvuka kizingiti cha PSG hao wengine utakutana nao ukiepuka kipigo kutoka kwa PSG.
nilishasema hapa mou ndio alikua kikwazo, akawatwisha wachezaji tu lawama na kuna watu wamewachukia hao wachezaji mpaka leo na hawana hatia............

PSG tunapiga kama mbwa mwizi, naona kombe likitua darajani. vp kijana unafananisha chelsea na A/vila ..........ni mawingu yameanza au umekosea tu kidogo?!!.
 
.....

PSG tunapiga kama mbwa mwizi, naona kombe likitua darajani. vp kijana unafananisha chelsea na A/vila ..........ni mawingu yameanza au umekosea tu kidogo?!!.
Hukufuatilia mtiririko wa mazungumzo baina ya franco15 na Nonda. Huwezi kuelewa nini kinazungumzwa hapo.
Dogo uwe unasoma kwa utulivu, ukivamia mitihani ya NECTA kwa aina hii, hautapata cheti.
Nasubiri hicho kipigo cha mbwa mwizi baina ya Yokohama na PSG.
 
Sijui kama jana mliwaona hawa watoto walivyoingia...they really are something..

2FFE313D00000578-3392634-image-m-80_1452441456903.jpg

Ruben Loftus-Cheek hawa ni madogo ambao hata wakiingia first team wanakuwa na uchungu na team tofauti na hawa stars wa kununua!

2FFCC83300000578-0-image-m-42_1452436222507.jpg

Napenda ambavyo Costa amekuwa mpole these days...and its paying off with the goals.
 
2FF35CEA00000578-3391717-Teixeira_left_signed_for_Shakhtar_Donetsk_in_2010_and_has_won_fi-m-4_1452422932522.jpg

Alex Teixeira ...mimi naona ni mzuri...sana...ila umri wake miaka 26...na tuna mdogo wazuri tu (hapa namuongelea Ruben Loftus Cheek).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom