Klop atakuwa majanga muda sio mrefu.
Teeeehe teeehe ndoto za alinacha
Who was the man of the match....Oscar...Willian...Costa???!
Klopp hana tatizo na games kubwaTuna hamu ya kuyala majogoo....hivi rematch ni lini? Umemuona Oscarlakini?
Mkuu ulimsikiliza jana baada ya game ya West Ham?
Klopp ni mzuri, lakini ligi aliyokuwa amezoea ni ya Ujerumani, EPL ngoma kubwa kwake, timu zote hivi sasa wanapata pesa nzuri tu za TV, angalia Everton walivyokataa kumuuza Stones kama sikosei, miaka miwili ya nyuma angeondoka. Pressure ipo kutoka kwenye media, mashabiki na wenye mali. Bila kusahau media inayotaka kukupangia timu. Yaani ukienda mfululizo ukapoteza mechi tatu nne upo matatani. Licha ya hivyo mbinu chafu ambazo zinatumiwa na baadhi ya clubs etc. Kwa mtazamo wangu Klopp utakuja niambia mwakani atakapowafikisha. Usije kulialia tu humu , kumbuka BR hakuomba kazi kwenu mlikwenda wenyewe kumsaka na ahadi kede kedeNilikua angry kama klopp sikupata muda mkuu
Klopp ni mzuri, lakini ligi aliyokuwa amezoea ni ya Ujerumani, EPL ngoma kubwa kwake, timu zote hivi sasa wanapata pesa nzuri tu za TV, angalia Everton walivyokataa kumuuza Stones kama sikosei, miaka miwili ya nyuma angeondoka. Pressure ipo kutoka kwenye media, mashabiki na wenye mali. Bila kusahau media inayotaka kukupangia timu. Yaani ukienda mfululizo ukapoteza mechi tatu nne upo matatani. Licha ya hivyo mbinu chafu ambazo zinatumiwa na baadhi ya clubs etc. Kwa mtazamo wangu Klopp utakuja niambia mwakani atakapowafikisha. Usije kulialia tu humu , kumbuka BR hakuomba kazi kwenu mlikwenda wenyewe kumsaka na ahadi kede kede