Obi na zouma wapo vizuri sanaHalf time...sisi 1 - wao 0
Half time...sisi 1 - wao 0
Duh acha kuwatisha wenzio
Ulichema unazima data chacha kilichokurudisha ni nini? Chawa tinawaogopa nyinyi na Aston Villa khe khe khe khekhekhekhekekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ooops una kale ka-mchemo Mind ze gap? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tuogope timu ambayo haina uwanja? Give me a break!
Hivi mlikuwa hamchukui kombe kwa sababu mlikuwa mnajengaee..haya tuone msimu huu. Nyie hamna uwezo wa kubaki kileleni mpaka January iishe....endeleeni kufurahia kwa sasa.
Matic amechoka anahitaji kupzika baadhi ya gameMatic bench....mikel na Fabregas wapo kati. Lets see how this unfolds.
Happy new year people
Usije ukakana haya maneno yako na tunayaweka kwenye hansard za JMWe have to win all our remaining games...
Usije ukakana haya maneno yako na tunayaweka kwenye hansard za JM
Leo Mikel Obi Mikel amekuwa mtamu kama mcharo aisee...!!! We can still use his service nahisi.hasa mechi kalikali