Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

alishinda kwa mbinu chafu, sasa mbinu zimeshtukiwa. na wachezaji ni wale wale wamechokaa, mpira wa morihno ulikua mbovu tokea msimu huu unaanza tokea game la kwanza na wala hata haiusiani na Dr.Eva, mana hata pre season yote tumenyukwa ...............

Neno langu sio sheria, ukikibali haya and vice versa
 
article-3364216-2F7766E400000578-70_964x367.jpg
Mbona Mourinho amekuwa mzee ghafla shida ni nini??
 
Jose alipaswa kujiuzulu mapema kabla jahazi halijazama
 
Sidhani kama wewe kweli ni mtu wa Chelsea, Uongozi umeamua hivyo kwa sababu zao wanazozijua, lakini kwa mtu wa Chelsea na mfatiliaji mzuri utaona bila kificho ni nini kilichokuwa kinaendelea pale Darajani, Chelsea chini ya Mou haiwezi kamwe kufungwa zaidi ya mechi nne nyumbani kwa msimu mmoja,

Kwa mpenzi mzuri wa mpira hata kama uko team nyingine huwezi kufurahia Jinsi wachezaji wa Chelsea walivyokuwa wanafanya, unaweza kufurahia na kuwakejeli Team inayofungwa kama kweli wamezidiwa uwezo na mbinu za kimchezo, lakini sio team inayoamua kujifungisha na kucheza chini ya kiwango

Mou Kaondoka sisi tutabaki, lakini nimesikitishwa sana na fitna zilizokuwa zinafanywa wazi kabisa na wachezaji wetu, ni fitna za kiswahili kabisa, imagine team inashambulia adui na adui yuko ndani ya peessure kubwa, adui anabahatika kubutua mpira mpaka katikati ya kiwanja na kuwakuta wachezaji wenu watatu na adui mmoja, mchezaji wenu baada ya kurudisha mpira kwenye team iliyo under pressure anaamua kwa maksudi kabisa kurudisha mpira kwa kipa wake ili adui apate relief,

Kwa taarifa yako tu wengine ni wafuatiliaji wazuri sana wa team yetu pendwa na tatizo tangu mwanzo tuliliona na Mou alikuwa analijua

Again mpaka sasa sipati picha inakuwaje Pro wakubwa kabisa wanakubali kujidharirisha kwa kiasi kile?

CC: Ntuzu
, Mentor, everlink, peterchoka, kalou, Rondo, Wacha1
Kuondoka kwa Mourinho kwangu kumeniacha na mambo kadhaa kichwani. Kitu pekee ambacho Mourinho alikosea ni kumtimua yule Mdada, na bila shaka aliwekwa chini ili abadili msimamo wake, sitashangaa kama Mourinho aliendeleza ubabe wake kwa kukataa maoni ya watu.
Lakini Je, hii ndo sababu kuu ya kufanya Wachezaji waipeleke timu hapa ilipo?
Binafsi naona wachezaji wamebugi, wangetafuta namna pekee ya kumwondoa Jose Mourinho ila sio hii ya kuigharimu timu, kuanzia matokeo mpaka pesa za kumlipa Mourinho.
Pia Abramovic naona anatengeneza roho ndani ya Chelsea, hii roho ya wachezaji kumkataa timu itaendelea ndani ya timu. Ni tabia chafu na inapaswa kukemewa ndani ya club.
Wapo watu wanambeza Mourinho na wengine wanathubutu kusema Guardiola ni bora kuliko Jose Mourinho, haya ni matusi kwa wafuatiliaji wa soka, ni matusi makubwa sana. Mourinho is special, better than Guardiola.
Kwa nimjuavyo Mourinho, sakata hili la Chelsea nimemuona ana hekima na busara pia. Mourinho hakutaka kuchimba sana kuhusu matokeo yake ndani ya Club, alisema tu kuwa kuna wachezaji wanamhujumu, na hakutaka kuchimba sana juu ya hilo ila watu tuliona hizo hujuma.
Mwisho wa yote namtakia kila la heri Jose Mourinho aendako.
 
Invisibo hututendei haki chichi machabiki wa Chelsick .... .... niliomba ufunge huu uzi tazama azma yote hii ya nini khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

BTW watu wanapoongelea ku-lose dressing room hawaelewi kwamba Yule daktari alipofukuzwa wachezaji wengi waliacha kucheza mpira wa kujituma maana aliyekuwa anawasugua misuli na kuwapa chuma mbonga kaondoka ... ... basi bora isiwe shari tukose wote ... ... .chezea bottom power weye mtajuta! khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
The Gusss is around the corner for the moment. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Sidhani kama wewe kweli ni mtu wa Chelsea, Uongozi umeamua hivyo kwa sababu zao wanazozijua, lakini kwa mtu wa Chelsea na mfatiliaji mzuri utaona bila kificho ni nini kilichokuwa kinaendelea pale Darajani, Chelsea chini ya Mou haiwezi kamwe kufungwa zaidi ya mechi nne nyumbani kwa msimu mmoja,

Kwa mpenzi mzuri wa mpira hata kama uko team nyingine huwezi kufurahia Jinsi wachezaji wa Chelsea walivyokuwa wanafanya, unaweza kufurahia na kuwakejeli Team inayofungwa kama kweli wamezidiwa uwezo na mbinu za kimchezo, lakini sio team inayoamua kujifungisha na kucheza chini ya kiwango

Mou Kaondoka sisi tutabaki, lakini nimesikitishwa sana na fitna zilizokuwa zinafanywa wazi kabisa na wachezaji wetu, ni fitna za kiswahili kabisa, imagine team inashambulia adui na adui yuko ndani ya peessure kubwa, adui anabahatika kubutua mpira mpaka katikati ya kiwanja na kuwakuta wachezaji wenu watatu na adui mmoja, mchezaji wenu baada ya kurudisha mpira kwenye team iliyo under pressure anaamua kwa maksudi kabisa kurudisha mpira kwa kipa wake ili adui apate relief,

Kwa taarifa yako tu wengine ni wafuatiliaji wazuri sana wa team yetu pendwa na tatizo tangu mwanzo tuliliona na Mou alikuwa analijua

Again mpaka sasa sipati picha inakuwaje Pro wakubwa kabisa wanakubali kujidharirisha kwa kiasi kile?

CC: Ntuzu
, Mentor, everlink, peterchoka, kalou, Rondo, Wacha1

Mou ni best kocha kasoro moja tu ya kuongea sana ndo ilifanya asipendwe na timu pinzani ila ukweli utabaki ni best kocha, poleni sana na bandugu wapenzi wa Mou Ntuzu na Mentor..... Root toka mafichoni umeshinda kesi.
 
Last edited by a moderator:
Kuondoka kwa Mourinho kwangu kumeniacha na mambo kadhaa kichwani. Kitu pekee ambacho Mourinho alikosea ni kumtimua yule Mdada, na bila shaka aliwekwa chini ili abadili msimamo wake, sitashangaa kama Mourinho aliendeleza ubabe wake kwa kukataa maoni ya watu.
Lakini Je, hii ndo sababu kuu ya kufanya Wachezaji waipeleke timu hapa ilipo?
Binafsi naona wachezaji wamebugi, wangetafuta namna pekee ya kumwondoa Jose Mourinho ila sio hii ya kuigharimu timu, kuanzia matokeo mpaka pesa za kumlipa Mourinho.
Pia Abramovic naona anatengeneza roho ndani ya Chelsea, hii roho ya wachezaji kumkataa timu itaendelea ndani ya timu. Ni tabia chafu na inapaswa kukemewa ndani ya club.
Wapo watu wanambeza Mourinho na wengine wanathubutu kusema Guardiola ni bora kuliko Jose Mourinho, haya ni matusi kwa wafuatiliaji wa soka, ni matusi makubwa sana. Mourinho is special, better than Guardiola.
Kwa nimjuavyo Mourinho, sakata hili la Chelsea nimemuona ana hekima na busara pia. Mourinho hakutaka kuchimba sana kuhusu matokeo yake ndani ya Club, alisema tu kuwa kuna wachezaji wanamhujumu, na hakutaka kuchimba sana juu ya hilo ila watu tuliona hizo hujuma.
Mwisho wa yote namtakia kila la heri Jose Mourinho aendako.

Umeeleza vizr umekuja kubugi sehem moja tu kuacha mada na kuanzisha kitu kingne hahahaha Jose is better than Gaudiola ??

Acheni Mahaba sijui umeangalia vitu gani kusema hivyo

Kwa sasa unapomtaja Gaudiola ni sawa na kumtaja Messi na kumlinganisha na kiumbe kingne katka soka
 
Nyimbo za Makocha wa england:

Kocha wa Leicister city;
🎶 Ni mbali tumetoka kila mahali tumepita ila ni kwa uwezo wako🎶.

Kocha wa Arsenal;
🎶Ombea adui yako aishi siku nyingi ili unavyofanikiwa ajionee mwenyewe🎶.

Kocha wa Man u;
🎶Nibebe nibebe ee yesu unibebe mikononi mwako niwe salama🎶.

Kocha wa liverpool;
. 🎶Alipoianza safari walimtia moyo, alipoonyesha mafanikio vikaibuka vikwazo🎶.

Kocha wa Chelsea;
.🎶Usifurahi juu yangu ewe adui yangu, niangukapo mimi nitasimama tena🎶.

😀😀😀😀😀😀😀
 
article-3364216-2F77E8B500000578-664_964x394.jpg

2F775C0E00000578-3364216-image-a-60_1450370247893.jpg

Hiding .... ..... ...

2F775B2300000578-3364216-image-a-61_1450370251271.jpg

The man pulled his hood down to hide his face,
as Mourinho left the club for a second time

2F75F58B00000578-3364216-image-a-40_1450364854621.jpg

The Mourinho family (L-R) Jose Jnr, Matilde Jnr, Jose and Matilde at a film Premier earlier this year

2F75EE1B00000578-3364216-image-a-37_1450364473538.jpg

The sacked Chelsea boss poses with his daughter at
The Royal Opera House earlier this year

2F75ED2A00000578-3364216-image-a-38_1450364478004.jpg

Mourinho's wife Matilde (centre) and his children,
Jose Jnr and Matilde Jnr, watch on during a defeat

2F76C79300000578-3364216-image-a-63_1450370852336.jpg

2F760A2D00000578-3364216-image-a-45_1450367594835.jpg

2F760B2900000578-3364216-image-a-46_1450367594847.jpg

2F76084500000578-3364216-image-a-47_1450367594877.jpg

Poleni wakuu jipangeni upya.
Emanolo ndio msemaji mkuu wA mafioso team na anachema kulikuwa na mgogoro mkubwa sana kati ya wachezaji na mourinyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom