Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,667
- 25,701
Da mkuu sifahamu nikujibu vipi maana naona hata Wacha 1 na wengine nimewamiss sana.
Ni pilikapilika tu ila nipo ntakuwepo tena kwenye michezo.
Vipi LVG anatarajia kutumia tena pesa January au ana dela gani si umesikia Pep Guardiola anaondoka Bayern wiki ijayo?
Man City, Man Utd na Chelsea huenda wakaanza vita kuwania signature yake.