Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimepokea hizi taarifa kwa uchungu mkubwa sn hasa ukinzingatia hii wiki tumempoteza mwenzetu Dotto Mnzava......

Kila mmoja najua atasema lake kadri awezavyo..... Lkn ukweli utabaki kua Mourinho ni kocha bora na kwa Chelsea hakuna kocha atakaekuja kufikia record yake.

Sababu iliyomfanya Jos? kufukuzwa ni kuinusuru timu kwani ata km angebaki kua pale bado wachezaji wangemuangusha tu hasa kutokana wao kuamua kwa makusudi kumuangusha kocha wao. Sasa timu inapofika ktk wakati huu ni bora kumpumzisha kocha ili kuleta kocha mwingine ili kuleta maelewano kati ya wachezaji na kocha na kupelekea timu kufanya vzr. Ni mshukuru sn Mourinho na kumpongeza ktk hilo alikua akijaribu kujenga mahusiano mazuri pamoja na hujuma za wazi zilizokuwa zikiendelea.

Mourinho kafukuzwa sio km yeye ni kocha mbaya.... Kafukuzwa kwasababu mahusiano yake na wachezaji yamekua mabaya na kamwe yasingeweza kua mazuri hasa kutokana na hujuma kupenyeza kutoka FA, Media. Waamuzi na wadau wa mpira wa wa England kuhakikisha kua hafanikiwi ktk wakati huu.

Kocha yoyote atakaekuja hatoweza kuinusuru hii timu kwa wakati huu..... Ila Jos? km angepewa nafasi hadi January basi angeinusuru hii timu.
Aleyn na Kituko nimeona michango yenu.....nyie mnatambua mpira na hali halisi ya makocha na wachezaji na soka kwa ujumla. Hoja zenu zina mashiko sn.
ENZO sijaona point yoyote nzito ktk hoja yako. Nachoweza kusema ni kwamba umetoa dukuduku lako.

Mwisho nakushukuru sn everlenk kwa kuniita. Mimi nipo na daima nitabaki kua Chelsea fans mpk kufa. Na Mourinho popote pale alipo nami nipo. Mourinho will simply remain the best.....

Jingine EPL inakwenda kupoteza mvuto, ushindani na mashabiki hasa kutokana na hamasa za Mourinho kukosekana ktk hiyo ligi. Sioni hamasa na mvuto na ushindani kwa Wenger, Pellegrine, LvG au Klopp.

#KTBFFH.......

#holler.

Sure is simply the best,
 
Last edited by a moderator:
Nimepokea hizi taarifa kwa uchungu mkubwa sn ,,,

Kila mmoja najua atasema lake kadri awezavyo..... Lkn ukweli utabaki kua Mourinho ni kocha bora ...

........
Kocha yoyote atakaekuja hatoweza kuinusuru hii timu kwa wakati huu..... Ila Jos? km angepewa nafasi hadi January basi angeinusuru hii timu.

ENZO sijaona point yoyote nzito ktk hoja yako. Nachoweza kusema ni kwamba umetoa dukuduku lako.

Mwisho nakushukuru sn everlenk kwa kuniita. Mimi nipo na daima nitabaki kua Chelsea fans mpk kufa. Na Mourinho popote pale alipo nami nipo. Mourinho will simply remain the best.....

Jingine EPL inakwenda kupoteza mvuto, ushindani na mashabiki hasa kutokana na hamasa za Mourinho kukosekana ktk hiyo ligi. Sioni hamasa na mvuto na ushindani kwa Wenger, Pellegrine, LvG au Klopp.
Ntuzu
Watu wanasema Moureen anajisikia aibu kumtizama Mafiaso wa Kirusi usoni, je kuna ukweli wowote?
_87274227_abramovic_getty.jpg

_87274455_mourinho_afp.jpg

Ntuzu kuna tetesi kuwa Mou atafukuzwa kuishi Daraja bovu, umepata habari hizo?

Tutapata wapi kuona mieleka sasa?

Upayukaji na domokaya vimemponza ze special one.

Chelsea news: Roman Abramovich decides to sack Jose Mourinho – report | Metro News

Roman Abramovich decides against sacking Chelsea's Mourinho - for now | Football | Premier League Transfer News, Scores, Results & More | Daily Star

Chelsea News: Demba Ba hits out at Jose Mourinho | Football | Premier League Transfer News, Scores, Results & More | Daily Star
 
Mm mwenyewe ni fan sana Wa Chelsea +mourinho ila nahamin kama kweli wachezaji wamefanya hivo kumuhujumu ili afukuzwe huu mzimu utatutafuna mpaka mwisho Wa msimu I love u so much the special one na imeniuma sana kitendo hicho cha kumfukuza kazi tupo pamoja popote utakopokuwa tunahamin unatupenda sisi mashabiki Wa the blues na cc tunakuhitaji pia mwenyezi mungu akutangulie ulipo Tupi.
 
Kwa Terry nafikiri inatosha inabidi astaafu, ivanovic naye ndo vilevile japo ameisaidia team ila aende tu.
 
Dah!!!! Kwa kweli inaumiza sana kocha bora kama mou kufukuzwa kisa upumbavu wa wachezaji.... Halafu hatutapata kocha mwenye mapenzi na club kama mou, wakati anaondoka Cobham baada ya kutimuliwa alikuwa akimwaga machozi masikini... Halafu kuonesha kuwa anaipenda club zile hela alizotakiwa kulipwa amesema zitumike kurebuild club, for sure mou was the best man for the job, gone but never forgotten!!!!!!!
Mou ameachia pesa?

Elfu 20 na 50 alikuwa anakata rufaa kwa FA hataki kulipa. Kama ameachia vijisenti vitumike kuijenga ze bluuz aliyoibomoa, poa tu.

Jose Mourinho told Chelsea owner Roman Abramovich after the defeat by West Ham in October: 'Pay me and I will go' | Daily Mail Online
 
Mkuu ni shida.....

Baada ya Mourinho kufukuzwa baadhi ya wachezaji wamesema wazi kutaka kuondoka na kuachana na Chelsea na soccer la Uingereza kwa ujumla..... Hii hali itaighalimu sn timu.
Mchezaji gani huyo?

Wachezaji wataondoka na kustaafu?

Hivi ni kweli Muhongo amesema atajenga viwanda vya kuzalisha uongo?

Nimesoma sehemu umeandika " watu wanaropoka tu kama wamevurugwa". Vipi bandugu? Sigara ya aina gani umevuta leo? Au kinywaji gani umekula leo?

Kuna sehemu umeandika wachezaji ndio wanamhujumu Mou, sasa unasema wengine wataacha kuichezea Chelsea, hueleweki ndugu.
 
Nonda siko ktk mood nzuri ya kujadili hoja uchwara Mkuu....... I do respect you so much in your comments which you have been posting here. Nikuombe kidogo Mkuu nipe break kidogo.......

Siku nikiwa powa niite tujadili mambo uyatakayo.

Asante sn
 
Ninapo ongea vitu sio km najitungia..... Mpk sasa kuna wachezaji wawili wana mipango ya kuachana na Chelsea.......
 
Ninapo ongea vitu sio km najitungia..... Mpk sasa kuna wachezaji wawili wana mipango ya kuachana na Chelsea.......
Huna majina yao? Hata kama ni tetesi...weka tu.

Watu wa Daraja bovu ni watunzi wazuri wa kujitungia.
 
Nonda siko ktk mood nzuri ya kujadili hoja uchwara Mkuu....... I do respect you so much in your comments which you have been posting here. Nikuombe kidogo Mkuu nipe break kidogo.......

Siku nikiwa powa niite tujadili mambo uyatakayo.

Asante sn
Abrahamovich amekuvuruga kwa mkichwa?

Hujui kuwa Chelsea ni mali ya mafiaso wa kirusi?

Unasema hauko "pouwa"?
Ndio sababu ya kuja na vihoja uchwara?

Nitakusubiri utakapopata mood nzuri.
wacha nikuombee.

Ee Mola muumba mbingu na ardhi patia hii bandugu etu mood ile nzuri, mood ile safi, mood ile inang'ara na epusha yeye na mood ya mourinho".. aameen.
 
Aya bhana Nonda nashukuru.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom