Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

2F6DC12E00000578-0-image-a-83_1450287846496.jpg

Chelsea striker Diego Costa poses for a selfie with a young Blues fan at the club's annual party for kids at Stamford Bridge

2F6DC10D00000578-0-image-a-66_1450287221722.jpg

John Terry poses for a selfie at the annual Chelsea Bridge Kids Christmas Party at Stamford Bridge
2F6DC11A00000578-0-image-a-69_1450287231503.jpg

Ruben Loftus-Cheek smiles for a photo taken on this devotees' iPad during the Christmas Party on Wednesday afternoon

2F6DC1B800000578-0-image-a-78_1450287259960.jpg

Oscar enjoys his day at the Bridge as he poses with a trio of supporters with their shirts covered in signatures

2F6DC13A00000578-0-image-a-75_1450287245625.jpg

Chelsea defender Cesar Azpilicueta delights this duo as they pose for a photo during the annual shindig for Chelsea's favourite kids

2F6DC13200000578-0-image-a-74_1450287242795.jpg

Cahill, having enjoyed an inspiring visit to the local hospital, joins the party at Stamford Bridge with young fans

2F6DC10400000578-0-image-a-63_1450287212688.jpg

Hazard speaks to young supporters and poses for photos after the Chelsea stars arrived to a screaming reception

2F6D8F7500000578-0-image-a-22_1450286704622.jpg

2F6D8F6C00000578-0-image-a-34_1450286755636.jpg

The players, including Willian (from left), Ramires, Pedro, Fabregas and Kenedy gave out gift bags and signed photos to the kids

2F6DAA5600000578-0-image-a-58_1450287032901.jpg

Chelsea's (from left) Pedro, Kenedy, Ramires, Cesc Fabregas, Costa, Willian and Oscar posed for pictures with young hospital patients

Nimeona hesabu zako ambazo umezitengeneza kutokea kwenye jawabu na ukajitengenezeq swali, najua unajua soka, najua unamjua Mourinho, najua unaijua Chelsea, najua unawajua wachezajimwa Chelsea

kikubwa zaidi najua unajua kilichokuwa kinaendelea pale Darajani na hakina kabisa uhusiano na ufundishajinwa Mou

mi naona hapa kama tunatofautiana, mi naona ufundishaji wake, mana mi alianza kuniboa tokea game la stoke city game la Capital one, stoke city walikua pungufu kwa red card eti badala ya kucheza mpira wa kushambulia eti ndio kwanza wanaforce game liishe droo wakati penalt hainaga mwenyewe, uwe pungufu dhidi ya man city au baca utajutaa .........
kwanza timu ilikua inacheza haishambulii, wachezaji hawawezi kupiga penetration pass, wao ni V pass, wanapasiana mabeki kwa mabeki theni wanamrudshia kipa abutue mbele. sasa vile walivyokua wanacheza si ndio kocha kawafundisha hivyo.
Angalia kocha kama Gudiola anavyofundisha, mchezaji anapewa mpira, halafu anakua na option kama ya wachezaji watano hivi ya kuwapasia mipira, kwa wachezaji wa chelsea option ni kumrudishia kipa!, aondoke tuuu!
 
Former England and Arsenal defender Martin Keown said Mourinho had "lost the players".

"It has imploded in front of our eyes," he said. "It is astonishing. I saw players who were not giving everything.

"There is no trust there, respect is gone. Ultimately it is easier to change a manager than 22 players."

Ex-Blues defender Graham Roberts told BBC Radio 5 live: "He came in and said he was 'The Special One'. He's not 'The Special One' no more."

BBC Radio 5 live Sport will have a special programme from 19:00 GMT reacting to the departure of Mourinho.

BBC Sport - Jose Mourinho: Chelsea sack boss after Premier League slump

Sidhani kama wewe kweli ni mtu wa Chelsea, Uongozi umeamua hivyo kwa sababu zao wanazozijua, lakini kwa mtu wa Chelsea na mfatiliaji mzuri utaona bila kificho ni nini kilichokuwa kinaendelea pale Darajani, Chelsea chini ya Mou haiwezi kamwe kufungwa zaidi ya mechi nne nyumbani kwa msimu mmoja,

Kwa mpenzi mzuri wa mpira hata kama uko team nyingine huwezi kufurahia Jinsi wachezaji wa Chelsea walivyokuwa wanafanya, unaweza kufurahia na kuwakejeli Team inayofungwa kama kweli wamezidiwa uwezo na mbinu za kimchezo, lakini sio team inayoamua kujifungisha na kucheza chini ya kiwango

Mou Kaondoka sisi tutabaki, lakini nimesikitishwa sana na fitna zilizokuwa zinafanywa wazi kabisa na wachezaji wetu, ni fitna za kiswahili kabisa, imagine team inashambulia adui na adui yuko ndani ya peessure kubwa, adui anabahatika kubutua mpira mpaka katikati ya kiwanja na kuwakuta wachezaji wenu watatu na adui mmoja, mchezaji wenu baada ya kurudisha mpira kwenye team iliyo under pressure anaamua kwa maksudi kabisa kurudisha mpira kwa kipa wake ili adui apate relief,

Kwa taarifa yako tu wengine ni wafuatiliaji wazuri sana wa team yetu pendwa na tatizo tangu mwanzo tuliliona na Mou alikuwa analijua

Again mpaka sasa sipati picha inakuwaje Pro wakubwa kabisa wanakubali kujidharirisha kwa kiasi kile?

CC: Ntuzu
, Mentor, everlink, peterchoka, kalou, Rondo, Wacha1

wachezaji walikuwa na bifu na Mou tangu sakata la Eva, ndo maana walikuwa uhakika wa kumaliza top four sababu walijua Mou atafukuzwa kwa matokeo mabovu
 
mi naona hapa kama tunatofautiana, mi naona ufundishaji wake, mana mi alianza kuniboa tokea game la stoke city game la Capital one, stoke city walikua pungufu kwa red card eti badala ya kucheza mpira wa kushambulia eti ndio kwanza wanaforce game liishe droo wakati penalt hainaga mwenyewe, uwe pungufu dhidi ya man city au baca utajutaa .........
kwanza timu ilikua inacheza haishambulii, wachezaji hawawezi kupiga penetration pass, wao ni V pass, wanapasiana mabeki kwa mabeki theni wanamrudshia kipa abutue mbele. sasa vile walivyokua wanacheza si ndio kocha kawafundisha hivyo.
Angalia kocha kama Gudiola anavyofundisha, mchezaji anapewa mpira, halafu anakua na option kama ya wachezaji watano hivi ya kuwapasia mipira, kwa wachezaji wa chelsea option ni kumrudishia kipa!, aondoke tuuu!

Utakuwa haupo serious mkuu, timu hiyo hiyo ndo iliyochukua ubingwa last season tena tukaongeza jembe kama pedro, jaribu kukumbuka matokeo mabovu yalianza kipindi gani, Mou kafanikiwa kuchukua vikombe kadhaa kwa muda mchache aliokuwepo darajani kipindi hiko akiwa na mahusiano mazuri na wachezaji, timu ingekua mbovu hata sweet 16 tusingefika
 
Mhusika ni wewe au Invisikujinyonga?

Kwa nini umebana tusinukuu?

Shabiki usiyekuwa na team maalum naona una sherehe kubwa mno! Kumbe ulikuwa unamuhofia sama Mourinho eeeh!? Weka akiba ya maneno huenda Mou akatua kwenye moja ya team zako.
 
Jose Mourinho - *The Sacked One* It all
started with the Eva Carneiro incident.
Moral of the story = Never mess with a
woman.
 
Utakuwa haupo serious mkuu, timu hiyo hiyo ndo iliyochukua ubingwa last season tena tukaongeza jembe kama pedro, jaribu kukumbuka matokeo mabovu yalianza kipindi gani, Mou kafanikiwa kuchukua vikombe kadhaa kwa muda mchache aliokuwepo darajani kipindi hiko akiwa na mahusiano mazuri na wachezaji, timu ingekua mbovu hata sweet 16 tusingefika

alishinda kwa mbinu chafu, sasa mbinu zimeshtukiwa. na wachezaji ni wale wale wamechokaa, mpira wa morihno ulikua mbovu tokea msimu huu unaanza tokea game la kwanza na wala hata haiusiani na Dr.Eva, mana hata pre season yote tumenyukwa ...............
 
Chelsea Football Club is the biggest joke
in world football. No history, no loyalty
and plastic fans.
 
Utakuwa haupo serious mkuu, timu hiyo hiyo ndo iliyochukua ubingwa last season tena tukaongeza jembe kama pedro, jaribu kukumbuka matokeo mabovu yalianza kipindi gani, Mou kafanikiwa kuchukua vikombe kadhaa kwa muda mchache aliokuwepo darajani kipindi hiko akiwa na mahusiano mazuri na wachezaji, timu ingekua mbovu hata sweet 16 tusingefika

alishinda kwa mbinu chafu, sasa mbinu zimeshtukiwa. na wachezaji ni wale wale wamechokaa, mpira wa morihno ulikua mbovu tokea msimu huu unaanza tokea game la kwanza na wala hata haiusiani na Dr.Eva, mana hata pre season yote tumenyukwa ...............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom