Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nakushukuru Mou kwa kutupatia ubingwa last season, ni upepo tu haukuwa mzuri kwako msimu huu, kila la heri uendako, nitafurahi ukienda RM
 
Hao makocha wote walio tajwa kuja chelsea hawana sifa za kumzidi mour. Kidogo gadiola ,hata hivyo hawezi kuja kwa sababu yeye shida yake ni man au city
 
Kunajamaa mmoja hapa ananiambia morinyo ni kama Mwl wa feza school asipopata matokeo out ,Wenger Mwl wa shule ya serikali asipopata matokeo hakuna shida tumpe muda zaidi
 
MNOUR_2606618a.jpg
Root ameshinda kesi. Mahakama ya mafiaso wa kirusi na genge lake lilikutana juzi na kuamua kumpumzisha Mou ili kulinda heshima yake.
Jose atapata mamilioni ya paundi ili kutunishia mfuko wake.

Kuna taarifa Wenger amemtumia Mou salamu za kumfajiri na kumtakia kila la heri katika maisha yake mapya.

Root tembelea hapa na angalia video, Mou anamtania Big Sam.

Link BBC Sport - The Clare Balding Show: Who is on Mourinho's Christmas card list?

Kalou ni msiba tu ndio unakuibua au umefurahi kwa domokaya hatapata tena nafasi ya kuiharibu Chelsea?

Swali kwa bandugu Ntuzu, alipo ,nipo bado ina-apply?

Mentor na Kituko, Mou ni bonge la kocha na Ze blaus ni bonge la ......

Mjitie nguvu na kujipa moyo kipindi hiki cha mpito kuelekea ligi ya daraja la pili.

What went wrong, Enzo?

Je Dr. Eva atarudi kutibu timu?

From ze friends of Ze Yokohama
 
Hao makocha wote walio tajwa kuja chelsea hawana sifa za kumzidi mour. Kidogo gadiola ,hata hivyo hawezi kuja kwa sababu yeye shida yake ni man au city

unaongea kwa uhakika wewe ndio mke wake nini?!.
 
Asante akwende zake..tumemchoka sisi ni timu kubwa bana

Sidhani kama wewe kweli ni mtu wa Chelsea, Uongozi umeamua hivyo kwa sababu zao wanazozijua, lakini kwa mtu wa Chelsea na mfatiliaji mzuri utaona bila kificho ni nini kilichokuwa kinaendelea pale Darajani, Chelsea chini ya Mou haiwezi kamwe kufungwa zaidi ya mechi nne nyumbani kwa msimu mmoja,

Kwa mpenzi mzuri wa mpira hata kama uko team nyingine huwezi kufurahia Jinsi wachezaji wa Chelsea walivyokuwa wanafanya, unaweza kufurahia na kuwakejeli Team inayofungwa kama kweli wamezidiwa uwezo na mbinu za kimchezo, lakini sio team inayoamua kujifungisha na kucheza chini ya kiwango

Mou Kaondoka sisi tutabaki, lakini nimesikitishwa sana na fitna zilizokuwa zinafanywa wazi kabisa na wachezaji wetu, ni fitna za kiswahili kabisa, imagine team inashambulia adui na adui yuko ndani ya peessure kubwa, adui anabahatika kubutua mpira mpaka katikati ya kiwanja na kuwakuta wachezaji wenu watatu na adui mmoja, mchezaji wenu baada ya kurudisha mpira kwenye team iliyo under pressure anaamua kwa maksudi kabisa kurudisha mpira kwa kipa wake ili adui apate relief,

Kwa taarifa yako tu wengine ni wafuatiliaji wazuri sana wa team yetu pendwa na tatizo tangu mwanzo tuliliona na Mou alikuwa analijua

Again mpaka sasa sipati picha inakuwaje Pro wakubwa kabisa wanakubali kujidharirisha kwa kiasi kile?

CC: Ntuzu
, Mentor, everlink, peterchoka, kalou, Rondo, Wacha1
 
Mwenye jukwaa amekasirika, ameamua kufanya yake! Ha haahhh.

Ze Yokohama itakuua kwa peresha, ile inaitwa mkandamizo wa damu. Enenda likizo au mapumziko. Titarudi baadae utakapoamua kuachia.
 
Maumivu hayo yalikuwa pande zote bwana.... Weeekend hata haikuwa njema kwangu... 2008 ni msimu wetu The Blues, hizi 'road bumps' ndogo ndogo hazituzuii kumaliza safari!!!

Teacher:
Devise a formula and evaluate Chelsea's Position as of Monday, December 14 (10 marks)

Student:
Position = Goal Difference/Win + Lost/Draw + Points

= -8/4 + 9/3 + 15

= -2 + 3 + 15

= 1 + 15

= 16

Method 2

Let Win = W, Draw = D, Lose = L, Goal difference = GD and Points = P

Position = (GD ? D + L ? W + P ? W ? D)/W ? D

= (-8 ? 3 + 9 ? 4 + 15 ? 4 ? 3)/ 4 ? 3

= (-24 + 36 +180)/12

= 192/12

= 16

Therefore Chelsea is on 16th position

Teacher
✅ Excellent work!

Nimeona hesabu zako ambazo umezitengeneza kutokea kwenye jawabu na ukajitengenezeq swali, najua unajua soka, najua unamjua Mourinho, najua unaijua Chelsea, najua unawajua wachezajimwa Chelsea

kikubwa zaidi najua unajua kilichokuwa kinaendelea pale Darajani na hakina kabisa uhusiano na ufundishajinwa Mou
 
Mwenye jukwaa amekasirika, ameamua kufanya yake! Ha haahhh.

Ze Yokohama itakuua kwa peresha, ile inaitwa mkandamizo wa damu. Enenda likizo au mapumziko. Titarudi baadae utakapoamua kuachia.


Haraka ya nini sasa? Tulia uandike vizuri utawahi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom