Msaidie huyu kijana anataka kuzijua timu za NondaMbona mmesusa Jukwaa? Leteni updates bana!!!!
achana na shabiki uchwaraaa hajulikani yupo timu gani?!
Kadai mapesa yako uliyompatia huyo mnajimu....
Nothing to lose today.......
Ulishaona nimekua najiamini kwa timu yangu kaa muda uliopita km hivi sasa?
Sasa fahamu mambo yote yako pouwa na inakua win win win tu mpk February......
Shikamoo mfungwa. Ze bluuzzziii mmeshazoeza sasa . Kila timu inawaweka manundu na naomba mnikumbushe mpo nafasi ya ngapi?
Ntuzu umemsikia Mou leo kwa mara ya kwanza amekiri kuwa amefungwa kihalali ,amefuta kauli ya "fake results".
Sio tu kwamba amekiri amefungwa lakini amesifia uchezaji wa Leicester na pia alikwenda "kumbusu" Ranieri na kuonesha heshima kwa mara ya kwanza tokea msimu huu uanze. Sasa Mou ataweza kushinda kuanzia mechi inayofuata. Ameanza kuonesha heshima na amerudi chini kidogo. Vipigo vinafundisha heshima.
Dr. Eva jitokeze ili uwapatie " matibabu" wachezaji wa Ze Yokohama.
BBC Sport - Chelsea 2-0 Porto: Everybody wants to play us - Mourinho
Mentor, Tenda imetimizwa ile mimi nimependa na sio kama nilivyoagiza.
Uguza maumivu, pole kwa kipigo...aaaahhh wapigwe tu hakuna namna ingine - Pinda
BBC Sport - Leicester City 2-1 Chelsea
The best keeper in the world allowed 2 goals in today and Hazard, Costa and Remi could not respond, so sad! teh teh, kwi kwiii, khe kheeeee.
Kituko wacha vituko.Hongereni wote msioitakia Mema the Blues, naona malengo yenu yanatimia, sisi kama Chelsea tunajua tatizo liko wapi na haya pia yataisha na tutarejea kwenye ubora wetu
hongereni sana
Afadhali amepiga hatua mbele,zamani alimtupia lawama Wenger kila Chelsea ilipochezea kibano. Wenger akaziba masikio na media zikaanza kumbana Mou.Mkuu bado kawalaumu ball boys
MentorNa mtoa tenda ni Nonda...lazima ikuchachie.
Chelsea's last 7 Premier League games
1-2 v Leicester
0-1 v Bournem'th
0-0 v Spurs
1-0 v Norwich
0-1 v Stoke
1-3 v Liverpool
1-2 v West Ham
Leo au? Yani hilo sahau kabisa....
Naenda kushusha kipondo cha nguvu pale King Power stadium leo.....
Mourinho anataka aishushe kwanza timu daraja ndio aikimbie,kulinda heshima yake asisubiri kufukuzwa bora aondoke mwenyewe
Ndiyo maana kibaka siku hizi akikuta jezi ya the blues imeanikwa anaiba vibanio jezi anaacha.
Ndiyo maana kibaka siku hizi akikuta jezi ya the blues imeanikwa anaiba vibanio jezi anaacha.