The last time Chelsea lost 9+ of their
opening 16 games in the top-flight was
1978-79.
They were relegated.
Hata hospital madaktari wanaposhindwa kuona maradhi ya mgonjwa humshauri aende kifanya matibabu ya kiswahili na mii huu ni ushauri wangu kwa the blues mrudisheni yule demu eva mungu nae hua anasikia dua za waja wake yule demu mourinho alimdhalilisha ipo haja ya kumuomba radhi na arejee katika timu huu ni ushauri nasaha .
Huwezi ukafukuza wachezaji wote Jose alishafanya kazi yake nzuri hapo Chelsea but now hata akipewa muda zaidi atazidi kupunguza heshima yake.Chelsea sasa inahitaji kocha wa muda mrefu na Jose hawezi hicho kituKwa hali ilivyo wanatakiwa kufukuzwa ni wachezaji, hawana weledi, ole wao Mourinho afike January.
Huu uongo sasa, Chelsea imeanza 2003 baada ya Abramovic :-D
Unachatije wakati wa mechi wewe? Subiri mpira uishe...
Half time: 1 - 0 Chelsea
Chelsea imeanza 2003 baada ya Abramovic? Ina maana kabla ya 2003 hakukuwa na timu inaitwa Chelsea?
Au ni mimi cjaelewa,naomba nieleweshwe.
Kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa chelsea FC founded in 1905 na mwaka 1997 they won europa winners cup against VfB Stutigat,a goal scored by Gianfranco Zola.
Subiri uone....
Au nije kisiju tuangalie mpira wote chini ya minazi?
Chelsea imeanza 2003 baada ya Abramovic? Ina maana kabla ya 2003 hakukuwa na timu inaitwa Chelsea?
Au ni mimi cjaelewa,naomba nieleweshwe.
Kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa chelsea FC founded in 1905 na mwaka 1997 they won europa winners cup against VfB Stutigat,a goal scored by Gianfranco Zola.
Weeeeeeee Mcharo ndo umevurugwaa kiasi hiki????????
Tumefiwa na member mwenzetu...!
We will come back soon haya ni mapito tu ya kitambo kidogo. Tutarudi kwenye ubora wetu sooner na mtatupenda tu just keep on waiting. Hakuna kukata tamaa mbele kwa mbele na Mou wetu.