Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,327
Last edited by a moderator:
Mourinho amepunguza jeuri?Umekua na jeuri siku hizi?
Huyo dogo anacheza karate au taikwandoo?Wazee wa mieleka...
![]()
Bournemouth alitufunga, Newcastle nae kamfunga
spurs, naona timu ndogo zimeamua sana wiki hii, sitashangaa hata chelsea wakimfunga Leicester.
Vady amepewa tenda ya mabao 3, Mahrez 2 na 1 la Nape....and those are called unrealistic dreams.
LOSE.......DRAW....WIN...
![]()
Mbona kama unatuandaa kisaikolojia ....lol
Wakuu vipi uefa tutasonga kweli?
Wakuu vipi uefa tutasonga kweli?
Wakuu vipi uefa tutasonga kweli?
Wakuu vipi uefa tutasonga kweli?
Tulia wewe shembaby
Nothing to lose today.......
Ulishaona nimekua najiamini kwa timu yangu kaa muda uliopita km hivi sasa?
Sasa fahamu mambo yote yako pouwa na inakua win win win tu mpk February......