Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Have you heard the news that
Chelsea FC are getting a new
sponsor? It is going to be Viagra, It's
the only way they can get past a
semi.
 
Hivi mbovu ni Mourinho au timu mbovu,Hawa ni Leicester tu,je kina ibrakadabla,Di maria si ndio watawaduu kama P square
 
Hivi mbovu ni Mourinho au timu mbovu,Hawa ni Leicester tu,je kina ibrakadabla,Di maria si ndio watawaduu kama P square

Ukigeuza table kichwa chini miguu juu The Blauz ya kina Ntuzu. Mentor & ENZO inashika nafac ya 5 yaan co mbaya point 1 nje ya TOP 4
 
Last edited by a moderator:
@TIMUNYANYA
msimu wenu huu.....kudadadadadeki....................
 
Hata hospital madaktari wanaposhindwa kuona maradhi ya mgonjwa humshauri aende kifanya matibabu ya kiswahili na mii huu ni ushauri wangu kwa the blues mrudisheni yule demu eva mungu nae hua anasikia dua za waja wake yule demu mourinho alimdhalilisha ipo haja ya kumuomba radhi na arejee katika timu huu ni ushauri nasaha .
 
Na mtoa tenda ni Nonda...lazima ikuchachie.
Shikamoo mfungwa. Ze bluuzzziii mmeshazoeza sasa . Kila timu inawaweka manundu na naomba mnikumbushe mpo nafasi ya ngapi?

Ntuzu umemsikia Mou leo kwa mara ya kwanza amekiri kuwa amefungwa kihalali ,amefuta kauli ya "fake results".

Sio tu kwamba amekiri amefungwa lakini amesifia uchezaji wa Leicester na pia alikwenda "kumbusu" Ranieri na kuonesha heshima kwa mara ya kwanza tokea msimu huu uanze. Sasa Mou ataweza kushinda kuanzia mechi inayofuata. Ameanza kuonesha heshima na amerudi chini kidogo. Vipigo vinafundisha heshima.

Dr. Eva jitokeze ili uwapatie " matibabu" wachezaji wa Ze Yokohama.

BBC Sport - Chelsea 2-0 Porto: Everybody wants to play us - Mourinho

Mentor, Tenda imetimizwa ile mimi nimependa na sio kama nilivyoagiza.

Uguza maumivu, pole kwa kipigo...aaaahhh wapigwe tu hakuna namna ingine - Pinda

BBC Sport - Leicester City 2-1 Chelsea

The best keeper in the world allowed 2 goals in today and Hazard, Costa and Remi could not respond, so sad! teh teh, kwi kwiii, khe kheeeee.
 
Hongereni wote msioitakia Mema the Blues, naona malengo yenu yanatimia, sisi kama Chelsea tunajua tatizo liko wapi na haya pia yataisha na tutarejea kwenye ubora wetu

hongereni sana
 
Invisibo funga huu uzi bana. Mbona unatufanyia hivyo bana, tuonee huruma khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Amebana, amebanaaa lakini yamemshinda....ameachia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom