Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Khe khe khe khe khe khe...................... Ntuzu Mentor kalou ENZO

7n.jpg
 
Last edited by a moderator:
We will come back soon haya ni mapito tu ya kitambo kidogo. Tutarudi kwenye ubora wetu sooner na mtatupenda tu just keep on waiting. Hakuna kukata tamaa mbele kwa mbele na Mou wetu.

BONGE la uongo !!!
Ubora wenu wa vichapo v5 mfululizo?
 
Mtanipendaaaaa!!!!!
 
Attachments

  • 1450166337330.jpg
    1450166337330.jpg
    15.6 KB · Views: 144
Nyota na ing'are kwa Leicester. .............
 
Attachments

  • 1450166403009.jpg
    1450166403009.jpg
    11.3 KB · Views: 148
Watu weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
 
Attachments

  • 1450166479999.jpg
    1450166479999.jpg
    17.6 KB · Views: 157
Kama kawa kama dawa ubabe tu......lakini wanaume wa Leicester wakasema subiri wewe DCM tukuonyeshe kazi.......
 
Attachments

  • 1450166550660.jpg
    1450166550660.jpg
    19.8 KB · Views: 163
Kwi kiwi kiwi kiwi kwiiiii utapasuka mweeeee!!!!!
 
Attachments

  • 1450166686350.jpg
    1450166686350.jpg
    16.6 KB · Views: 149
Boraaaaa Loic ulitufuta machoziiii.......
 
Attachments

  • 1450166748339.jpg
    1450166748339.jpg
    18.8 KB · Views: 158
The blauz anasema Hata nikishuka daraja "Mtanipendaaaa"
 
Attachments

  • 1450167179176.jpg
    1450167179176.jpg
    49.8 KB · Views: 149
Kituko wacha vituko.

Hongera sisi haitusaidii, ni afadhali tumpeni nyinyi hongera kwa kulazimisha malengo ya wasioitakia mema ze blauzii yatimie.

Tatizo au matatizo?

Mourinho amesema yeye hajui tatizo ni nini?
Anachokiona uwanjani ni wachezaji wake wanafanya ubishoo tu uwanjani, kujiangusha angusha na kukimbia hovyo hovyo.

Hebu kama tatizo unalijua ,tudokeze na sisi.
Tatizo ni nini?
Au matatizo ni yepi?
Kwa nini the blues imegeuka ze blauz?

Unless wewe sio mtu wa Mpira, lakini kama kweli wewe ni mtu wa Mpira na huwa unaangalia mechi zote za EPL hasa timu kubwa zikiwa zinacheza wala usingeniuliza tatizo la Chelsea liko wapi,

Lakini kwa kifupi tu, Chelsea haina tatizo la kocha, Mourinho bado ni kocha sahihi kwa Chelsea
 
Mimi naangali mechi za timu moja tu ambayo ndio kubwa Ze Yokohama,Zingine ndio zinajitahidi kukua nasubiri nazo ziwe kubwa ndio nitaanza kuangalia mechi zao.

Epl ina timu moja tu kubwa, Ze bluuzzz.

Chelsea haina tatizo lolote, haina tatizo la kocha, haina tatizo la pesa, haina tatizo la wachezaji, haina tatizo la kumkosa Dr. Eva.

Tatizo liko kwa timu zinazocheza na Chelsea. Tatizo lao ni kuwa zimejiwekea mkakati wa kuifunga Chelsea ili kumfundisha Mou heshima na kumkata mdomo.
 
Kumbe tatizo unalijua, hongera zako mwana Blues
 
Ni nani anayemsaliti "the special one" ? ? ? ......
 
Attachments

  • 1450171761094.jpg
    1450171761094.jpg
    41.1 KB · Views: 197
Kumbe tatizo unalijua, hongera zako mwana Blues
Wewe kweli Kituko.
Hangera kwako wewe mwana blauz!

Wapigwe tu.

Kituko unasoma kwa vituko, unasoma kinyume nyume na huelewi. Siwezi kukushangaa, vipigo vimekutia marue rue lakini maumivu yakizidi tumia HEDEX au enenda kumwona Dr. Eva.
 
Ni nani anayemsaliti "the special one" ? ? ? ......
Eden Hazard ameamua kupunguza "dark art" yake anapokuwa uwanjani.

Wa pili fans wa ze Bluuz, kuimba jina la Mou hata pale wanapopewa za uso na kipigo.

Wa tatu ni Terry na Ivano vichochoro vya Yokohama

wa nne ni mafiaso wa kirusi kwa kumwacha Mou ajinyonge mwenyewe badala ya kumwonea huruma na kumwondolea maumivu kwa kumwonesha mlango wa kutokea.

wa tano Ni Kalou wa jukwaa hili kwa ku-misuse ;Mind the gap! msimu uliopita.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom