Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mbona umejihami kwamba mnashinda? Kwani mimi nimeongea mnashindwa ? Mbona una haraka kama unaoga nje???......maliza maneno yote tuonane usiku.....

Teh teh teh kuoga nje raha sn.....
Nitakua hapa nimejaa tele
 
I find it boring kila siku psg bwana tushachoka me namtaka barca ngoja tumtoe huyu psg
 
Siyo kila mlevi ni wakumsukuma vile utakavyo, usikariri Ntuzu

Baadae ntaka hapa kukufuta machozi, teh teh teh

Leo au? Yani hilo sahau kabisa....

Naenda kushusha kipondo cha nguvu pale King Power stadium leo.....
 
Last edited by a moderator:
Leo au? Yani hilo sahau kabisa....

Naenda kushusha kipondo cha nguvu pale King Power stadium leo.....

Unajitutumua hapa jamvini lakini moyoni umefyata mbele ya hao Mbweha, nasubiria mtanange wa Azplicueta na Mahrez
 
Teh teh teh, nimemleta sweetheart everlenk huku Mvuti kuona mashamba yetu mengine ya minazi, machungwa na maembe, nahisi na game tutaangalizia hukuhuku,

Oyoyoyooooooo......

Ntakutoa nduki humu.....

Yani wewe my baby everlenk amekua wako tena?
 
Last edited by a moderator:
Oyoyoyooooooo......

Ntakutoa nduki humu.....

Yani wewe my baby everlenk amekua wako tena?

Kwa kwa kwa kwa kwaaaa

Yaani na wewe ukiitwa baby humu jamvini unajibebisha kwelikweli? Teh teh teh

Jiandae kisaikolojia kupokea kipigo cha mbwa mwizi hapo baadae
 
Last edited by a moderator:
Kwa kwa kwa kwa kwaaaa

Yaani na wewe ukiitwa baby humu jamvini unajibebisha kwelikweli? Teh teh teh

Jiandae kisaikolojia kupokea kipigo cha mbwa mwizi hapo baadae

Teh teh teh teh ngoja aje huyo shembaby uone navyokutoa nduki.

Leicester hana chake weye kibabu wa Mvuti....
 
Teh teh teh, nimemleta sweetheart everlenk huku Mvuti kuona mashamba yetu mengine ya minazi, machungwa na maembe, nahisi na game tutaangalizia hukuhuku,
Nipe raha mpenzi nipe raha,nipe raha nami nikupe zanguuuu.......

Oyoyoyooooooo......

Ntakutoa nduki humu.....

Yani wewe my baby everlenk amekua wako tena?

Mtoto mfukunyuku weweee embu tuwacheee kwa raha zetu....lol.....embu heshimu ndoa yetu basiii!!!!.....Vardy huyoooooooooo kitu na box .........eti leo nimeskia mnarudia style yenu ya kupaki basi....lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom