Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
![]()
Sasa Chelsick kama mnaona Ashy ametenda dhambi kubwa
kuliko Abraham o Vich na Terry basi
jamaa kule Uhispaniola wanamuhitaji.
Huyu bwana mdogo ni pengo kubwa kwa Chelsea nina imani Bosingwa akirudi ataziba hilo pengo