Msishangilie jamani tutafanana na wale jamaa wa
Kwa hiyo umefurahi sana kutukimbia kwenye ile special thread?Msishangilie jamani tutafanana na wale jamaa wa
Kwa hiyo umefurahi sana kutukimbia kwenye ile special thread?
Kwa hiyo mwenye advantage ni aliyefungwa au aliyeshinda?High quality game! we do not complain for the penalty....like Arsenal boys....at the bridge they are out
Duh huyu Terry anaonekana kama vile mawazo yake hayakuwa uwanjani vile. Au alikuwa anamuwaza v.............![]()
Huyu jamaa pembeni sijui anasubiri pipi? Kama mtoto aliyekataliwa vile!
The sucker punch ... ... ...
High quality game! we do not complain for the penalty....like Arsenal boys....at the bridge they are out
Hakucheza leo mmembaniaBolini!