Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,211
hivi kuna thread nyingine ya hii mechi au nikwamba watu wamejificha?
hivi kuna thread nyingine ya hii mechi au nikwamba watu wamejificha?
hivi kuna thread nyingine ya hii mechi au nikwamba watu wamejificha?
...tactics baba, wamebadili tactics...leo washabiki wao humu jamvini 'wanajificha' kwa style ile ile ya kidarajani.
formation; 9 - 1 - 0 😀😀😀
![]()
Tevez akifanya vitu vyake
Kutokuwepo kwa kipa wetu kumetugharimu SANA...Siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Poleni mwe! Sikudhani kama kuna siku SAF atakuja kumshangilia tena Tevez...lakini bila shaka huko aliko anatamani kumpa hugs na kisses kibao.
Kutokuwepo kwa kipa wetu kumetugharimu SANA...
Kilio cha mtu mzima ndio leo!
Am speechless 🙁