Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Chelsick naona wanachungulia tu leo maana The special one anawasubiri kabla hawajakwaana na Man City, si unakumbuka makombora ya Tevez? Msirudishe matanga tu. BTW msipandishe pressure bure leo ni Jumamosi tu. Ooops Jumapili zimebaki dakika tu.