Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Ashley Cole ni sehemu ya Chelsea,ndio maana kila kinachoendelea wanatumia,mchezaji wa Chelsea Ashley Cole.......Pelekeni udaku wenu kwa Shigongo na magazeti yake hapa leteni habari za soka si maisha binafsi ya mtu.Hapa naona kijiwe kimetawaliwa na mashangingi sijui yanatafuta waume! Let's talk about Chelsea Vs Inter and not some ones private life.