Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[video]http://www.bbc.co.uk/sport/0/football/34435862[/video]​
 
Support us
 

Attachments

  • 1443903715842.jpg
    1443903715842.jpg
    37.2 KB · Views: 164
Mimi nataka asifukuzwe tuone uwezo wake halisi wa kutengeneza timu ulivyo. Huku kufukuzwa, kuhama hama timu kunamfichia siri kama siyo hivyo tungemweka katika level ya kina Big Sam muda mrefu uliopita


Tutaamka asubuhi Morinho sio kocha wa Chelsea.
Mrusi hana simile, anatwanga Syria na Darajani kwa wakati mmoja.
 
sasa msimi huu ndio tutajua u-special one wa josee..yani mpaka namwonea huruma kwa aibu anayoipata
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Daaaah....Chelsea na Barcelona leo amenifanikishia mkeka Wangu....


Am a millionaire!!! Waiter leta bia.....

Matairi ya Yokohama yamepasuka
 
Mr. Roman Abramovich please oh please don't release Mr Mourinho from the manager position at Chelsea. We need his entertainment for another 7 months.
 
Tutafanya maajabu kwa kuchukua kombe msimu huu, Chelsea
Kauli hii ingetolewa na Ntuzu nisingeshangaa, lakini wewe pia?

Vipigo bana, vipi vimekuchanganya au umechanganyikiwa?

Pole dugu, mtazoea tu
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

Similar Discussions

Back
Top Bottom