Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mentor

4j.jpg

Hahahaha mkuu hii imenifurahisha sana japo ni jokes kwa chelsick but mouthreen kashangaza katika hili.
 
Last edited by a moderator:
Ikiwa Gunners fans walikusanya sahihi Mike Dean asichezeshe mech zao.
Sasa yapasa Chelsea aka the Blauzi mkusnye sahihi muwaombe FA Mike Dean achezeshe mechi zao zote zilizobaki.
c.c Ntuzu, Mentor.
 
Last edited by a moderator:
Dah kuna mwana kanitumia audio ya mou ya Jana baada ya kichapo serious jamaa kachangnyikiwa kaulizwa swali moja katumia dakika 7 na sekunde 20 kulijibu, angeulizwa maswali hata matatu huyu mzee angeomba hadi half time.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Wewe kweli Nzi
Chelsea hawavai Samsung siku hizi,uwe unajipanga kabla ya kupost hizo picha

Pole chifu. Nafahamu vipigo mfululizo vimekuchanganya, mpaka huwezi kufikiri vyema.

Sawa, Rentboys wanavaa 'Yokohama' siku hizi. Lakini huyo ni mshabiki tu, hivyo siyo lazima naye avae 'Yokohama'.

Kwa mfano, mimi nina jezi za 'Sharp' na 'Vodafone' za #ManUnited lakini timu haina tena hizo jezi siku hizi. Lakini hilo halinizuii mimi kuwa shabiki wa timu.


Mkuu acha kuishi kwa Mazowea!! Hiyo sio formular

Sawa. Nitaacha mkuu.

Kwa hiyo ni jezi ya Sunderland?

Kajamaa kamedata kama mpiga domo Maureen. Hivi ulisikiliza mahojiano yake jana baada ya mechi?!
 
hivi una akili kweli au ndio mambo ya mou hayo ??
huyo ni fan sio mchezaji jersey ikibadilishwa kwa hiyo yake aitupe ??

teh teh teh malalamiko yote klabuni

Nawewe nae unaongea? Duh! Kweli Soka limevamiwa!!
 
Jamani kuna vile vikatuni mbona humu sijavishuhudia.. but kwenye viwanja vingine timu zikifungwa vikatuni huwa vinawekwa vua kutosha tu.
Mentor football is a game of fair play.
 
Last edited by a moderator:
Jamani kuna vile vikatuni mbona humu sijavishuhudia.. but kwenye viwanja vingine timu zikifungwa vikatuni huwa vinawekwa vua kutosha tu.
Mentor football is a game of fair play.

Unasemaaa?
 

Attachments

  • 1443949201556.jpg
    1443949201556.jpg
    12.7 KB · Views: 140
Last edited by a moderator:
Viva Southampton viva...
Duuu majamaaa wabayaaaaaaaa
 

Attachments

  • 1443949247948.jpg
    1443949247948.jpg
    18.3 KB · Views: 135
The best team lose
The best team ze blauzzz never lose, ze bluuzzii got only "fake results"

Vipigo vimekufanya umekuwa kama kopa....ukasuku huu wa the best team lost umeanzia kwa mpayukaji domokaya.

Kila mutu atauchukua mzigo wake menyewe, vipigo vikiongezeka.

Ntuzu yuko "bize"?

Jukwaa limekuwa quinine...
 
Jamani kuna vile vikatuni mbona humu sijavishuhudia.. but kwenye viwanja vingine timu zikifungwa vikatuni huwa vinawekwa vua kutosha tu.
Mentor football is a game of fair play.
Subiria tu, Mentor anavichora, akimaliza tu anavibandika hapa.

Unajua kuchora "kujirusha na kujigaragisha" kwa Falcao na Hazard inachukua muda mwingi.

Pia kumchora Ivano aking'ang'ania jezi ya jamaa na mieleka ya Terry inataka special effect...akimalizia kuvichora utafurahi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom