xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,921
Hakuna timu ambayo ilimaliza top 5 baada ya kuwa na points 8 baada ya games 8....
Mara ya mwisho chelsea kuwa na msimu m baya hivi ni miaka 37 iliyopita na ilishuka daraja.
Hakuna timu ambayo ilimaliza top 5 baada ya kuwa na points 8 baada ya games 8....
Huu ni ufala kama si U sen ge ..ku-Nyosiwa kunaudhi.. Afukuzwe tuu!
Huu ni ufala kama si U sen ge ..ku-Nyosiwa kunaudhi.. Afukuzwe tuu!
Imeniuma sana mpka steam zimeniruka kabisaa.kwa nn team yetu inafungwa iviiiiiiiii?imeniumaaaaaaaeeeeeee iiiiiiiiiiiiiii
Daraja la kwanza lina muda wa kutosha kutulia.
Kuna mtu amecomment hivi bbc:
"Given their concurrent drop in form I can
only assume that Eva Carniero was actually
coaching the team for Mourinho."
Nimechekaje?