Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Haki ya nani Mourinho kadata. Mmesikia interview yake baada ya game?

Halafu anambipu Mrusi?!? Basi atapigiwa si muda mrefu.

Nishasema mpiga domo ni mzee wa kufluke...hana consistence....popote anapoenda anatafanya vizuri msimu mmoja au miwili, kisha msimu unaofuata ni kuharibu kwenda mbele...kama wewe siyo bora huwezi kufluke mfululizo...

Mimi nataka asifukuzwe tuone uwezo wake halisi wa kutengeneza timu ulivyo. Huku kufukuzwa, kuhama hama timu kunamfichia siri kama siyo hivyo tungemweka katika level ya kina Big Sam muda mrefu uliopita
 
Mentor

4j.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu amecomment hivi bbc:

"Given their concurrent drop in form I can
only assume that Eva Carniero was actually
coaching the team for Mourinho."

Nimechekaje?

100% i agree
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hapa nilipokuwa naangalia Yokobus likikata kona na kupinduka, kuna mtu alinisitukia nakenua na uso unameremeta kwa kafuraha hivi.
Aliniuliza, vipi kaka?

Nilimwambia nimemkumbuka bandugu zangu,,Kalou na Ntuzu na Epl ya msimu uliopita.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ati Maureen anasema marefa wanaogopa 'to give decisions to Chelsea'. Yaani analalamika juu ya penati claim ya Falcao 

Huyu kweli kadata.

Recently Mourinho amekuwa obsessed with Wenger hadi kaanza kutoona penati 2 za Saints kama Wenger with "I didn't see it". LOL
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
.. ama kweli hujafa hujaumbika; kwenye sacking race wanaoongoza sasa ni (1) the 'former' special one Maurinho akifuatiwa kwa karibu na (2) ; Steve Mcclaren;Tim Sherwood na Dick Advocaat.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

Similar Discussions

Back
Top Bottom