Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ameshatangaza kuachia ngazi.Chelsea haijawahi kuanza ligi kwa style hii tangu 1978. This is the worst season ever to the club.
 
Ndugu yangu Mentor Ntuzu kalon
Msikate tamaa jamani!Mtarudi CL 2017/18!Soka lina era zake na kidoo mwaka huu na mwakani mtupishe CL!Mnaweza mkawa wa8 kacheza Europa League mwakani
 
Last edited by a moderator:
Mara ya mwisho chelsea kuwa na msimu m baya hivi ni miaka 37 iliyopita na ilishuka daraja.

herrera kuna hizi njozi za mabingwa wa msimu uliopita. Hawamtegemei tena ze special 1 ,sasa wanategemea miujiza na maajabu. Washuke tu daraja wakasalimiane na Leeds United.
Tutafanya maajabu kwa kuchukua kombe msimu huu, Chelsea
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Tutafanya maajabu kwa kuchukua kombe msimu huu, Chelsea
Bado twaweza chukua kombe ila kuna watu watimuliwe pale tukianza ma Falcao, Costa, Terry, Iva, Cahill
Hongereni wote mnao iombea njaa Chelsea, naona sasa mko dunia nyingine kabisa,

anyway tutajipanga na tutafika pazuri tu
Ndugu yangu Mentor Ntuzu kalon
Msikate tamaa jamani!Mtarudi CL 2017/18!Soka lina era zake na kidoo mwaka huu na mwakani mtupishe CL!Mnaweza mkawa wa8 kacheza Europa League mwakani
"To be champions now is very difficult because the distance is considerable," Mourinho told Sky Sports.
"But I am more than convinced that we will finish in the top four, and when the season is so bad if you finish in the top four it is OK.

Link
http://www.bbc.com/sport/0/football/34435619
 
Ndugu yangu Mentor Ntuzu kalon
Msikate tamaa jamani!Mtarudi CL 2017/18!Soka lina era zake na kidoo mwaka huu na mwakani mtupishe CL!Mnaweza mkawa wa8 kacheza Europa League mwakani

Wamchukue Moyes awarudishe top 4 kabla hawajachelewa.
 
Last edited by a moderator:
Jana matokeo yakoje pale darajani?

Naomben taarifa nipo huku kijijini

Pls
 
Mkaanga sumu mwenzake na cute b upooo ? Huwezi amini eti leo BR is better than Mo HahahAha.....

Hahahaaaaa wakaanga sumu at work...
Siku hizi najua kubashiri matokeo ya chelsea kabla ya mechi kuanza hivyo hainipi tabu coz nitafuatilia tuu kwenye live score

Better si kidogo we unacheza 8games unapata point 8 teeeeehe teeehe let them both sacked this week

cute b kanikimbia kabisa leo
sijakukimbia mkaanga sumu nipoo ila naumwa sana.
Sema ujue nini leo wenger na lvg kitaeleweka tuu nani mbabe
 
Last edited by a moderator:
Team Southampton tupoooooo?
Ila mjue nini kigodolo cha hapa tushakizoea wala hakinogi tena...
Poleni sana majirani hata hivyo karibun ot mlango upo wazi kwani chelsea sio baba yenu wala mama yenu
 
Team Southampton tupoooooo?
Ila mjue nini kigodolo cha hapa tushakizoea wala hakinogi tena...
Poleni sana majirani hata hivyo karibun ot mlango upo wazi kwani chelsea sio baba yenu wala mama yenu

Teh teh...
 
Hivi Eva alikuwa Dr wa timu au mganga wa timu? Aiwezekani mbeba mikasi aondoke timu ianze kuboronga namna hii. Mimi nadhani Eva alikuwa mshika tunguri wa pale darajani.
 
Enzo, Ntuzu, Mentor, Kalou, CleverKing,
Ninyi ni mabingwa bana and this is another "fake result"

Ze bluuuzz 1 - 3 Ze wanyongaji

Mentor vipi kilio kinaendelea?

Anapoenda Mou, ndipo anapokwenda Ntuzu.

Kalou, "mind the gap"

Enzo,CleverKing umeona litimu langu leo lilimharibieni siku?

C. Palace, Leicester, South..... Matimu dume msimu huu.

Wiki kesho Ze bluuz iinarudia nafasi yake ya msimu huu 17.

The best team lose
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom