Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

JT-splash_984758a.jpg

Huu ndio ukweli ama vipi?
 
Wacha + Masa siwawezi, nyie ni wapinzani kweli!..haya leo zamu ya Wacha, hongera kwa ushindi!...

Masa ndo mpira, bado EPL inaendelea...Cheers!..
 
Wacha1 and Wacha are ...........................................................malizia Loosers
 
Wacha + Masa siwawezi, nyie ni wapinzani kweli!..haya leo zamu ya Wacha, hongera kwa ushindi!...

Masa ndo mpira, bado EPL inaendelea...Cheers!..

Tatizo huyu Mgalatia wako mbishi, hakubali kushindwa huyu.....wamenyukwa jana yeye analeta leta maneno mbofu mbofu tu kama mzee wa ''Estonia'' ha!ha!ha!aaa
icon10.gif
icon10.gif
!
 
Lol!...huyu Wacha1, sio mtu wa kubishana naye, he can destroy you aiseee!
Just imagine As*holes wanachukua AT LEAST FA cup (ambao hawatachukua), nadhani jukwaa hili lita jam kwa threads zake. Anyways it ur time pal, ukifungwa utulie, na ukishinda usiongee pia?
 
Heheheh, naona wenye jukwaa wameingia mitini....kumbe kufungwa kubaya enh?
Poleni sana watani ndio ukubwa...!!
 
Lol!...huyu Wacha1, sio mtu wa kubishana naye, he can destroy you aiseee!
Just imagine As*holes wanachukua AT LEAST FA cup (ambao hawatachukua), nadhani jukwaa hili lita jam kwa threads zake. Anyways it ur time pal, ukifungwa utulie, na ukishinda usiongee pia?

Wewe unafahamu tutachukua kombe gani au siyo? Hilo la FA wameachiwa wenyewe kwani hufahamu?
 
COLESPLASH_985149a.jpg

Khe khe khe khe khe khe

We wacha1 ukoje? unafurahia cole kuumia au? pamoja ya kuwa atakuwa nje kwa msimu wote ( http://soccernet.espn.go.com/index?cc=3888 )
lakini kumbuka nishakuwambia chelsea ina kikosi kamilifu idara zote na kwa kukuhakikishia hili umeona wakati 4 players walivyokuwa africa - game gapi chelsea kacheza na kashinda ngapi?

Kuumia kwa Cole kumbuka tunae Yuri Zhirkov (http://soccernet.espn.go.com/players/profile?id=43733&cc=3888)
Huyu mrusi anaweza cheza kama left back pia kama winga wa kushoto kwa hiyo sioni tatizo kubwa sana kutuzuia tusifanye mambo kwenye FA, UEFA na
Premiership may be useme jingine tena.
 
Mti wenye matunda mazuri ndio unao pigwa mawe.Hawa jamaa walikua wanasubiri tupoteze mechi ili wase yao yote ya moyoni,na wanaombea mabaya yote.
 
Vipi wewe hivi hujui kwamba JamiiForums where we dare talk openly.

Kwa hiyo Cole hajaumia atacheza wakati wowote - Hongera sana. Well Joe Cole amepona kwa mujiza wa Elnino akishirikiana na placenta doctor, hii ni habari njema kwa mafioso, mengine yote sahauni ni hadithi za Pwagu na Pwaguzi.

Miracle man mwingine kutoka Urusi ambaye ni Mafia kwa jina la Abraham o vich vile vile ni kibaka aliyekomba mamillioni ya fweza na kujibanza darajani. Placenta ya farasi inafanya kweli. khe khe khe khe kheeeeeeeeee.

COLESPLASHNEW_985420a.jpg

Khe khe khe khe khe khe eeeeeeeee.

Matunda mazuri? Give me a break! Hivi unafahamu kwa nini wanaitwa Mafia team? Kweli kipendacho moyo ni dawa, hata chongo wataita kengeza.
 
Wacha1, Chelsea is winning the FA, UEFA and Premiership - Upo kiongozi?
its not that sitaki kuamini Cole kaumia - no the way you presented the news at JF- kwa mbwembweeeee

Anyway - Babu Giggs is out for a month....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom