Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Hahahaha! Kawaida, ndio mpira....ahsante. Ukisema Saha angefunga penalty maana yake kunakuwa hakuna umuhimu wa kipa, hayo ni matukio ya mpira kama amabavyo refa amwemwachia Fabreagas aliponawa mpira waziwazi.
Kama kawaida yako,kila tukishinda lazima uje na malalmiko kwa marefa🙂🙂...Halafu kwa nini huwa unakuwa mzito japo kusema hongereni Arsenal kwa ushindi!!!!