Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Everton-v-Chelsea-Florent-Malouda-celeb_2418230.jpg

Wakati Malouda anaashiria kwamba
watakung'utwa magoli 2 -1
 
BelindaJacob said:
Masa wa Nilo

Hongereni kwa ushindi wa j5, mmewaongezea stress ze Chelsick!..

Watajijuu

_47276812_eve_chel466.jpg

Don't tell me I didn't warn you!

Niliwaonya lakini kabla ya mechi.

Currently Active Users Viewing This Thread: 7 (2 members and 5 guests)
Sanda Matuta,Peasant,Masanilo,Mvina,ELNINO,AljuniorTz,Invisible,Pape,Ab-Tichaz

Hongereni kwa ushindi wakuu🙂🙂🙂

Bora wamalizie Teachers tu sasa.
 
Huyu kijana anaitwa nani Vile?

Khe khe khe khe khe​

Dirogubaa wa Everton a.k.a mamluki wa Man U.

Goodison Park is not the easiest place to visit.Mitaa ya Saturday, February 20, 2010 Everton v Manchester United.Naamini tutakuwa tunakula bata pale darajani Wolverhampton Wanderers v Chelsea.
 
.......he, leo huu mtaa mbona kimyaaaaaaaaa?

Where is Mvina, Robot, Peasant, Masa boy, AB-Mwalimu (aka mzee wa mapicha),Aljuniorbongo, Sanda penalty......!

Mzee wa mipicha....please do ze needful, hizi ni game tu mkuu, show up please! Jipangeni upya wazee kuteleza sio kuanguka......!
 
.......he, leo huu mtaa mbona kimyaaaaaaaaa?

Where is Mvina, Robot, Peasant, Masa boy, AB-Mwalimu (aka mzee wa mapicha),Aljuniorbongo, Sanda penalty......!

Mzee wa mipicha....please do the needful, nizi ni game tu mkuu show up please! Jipangeni upya wazee kutleza sio kunguka......!

Mbuzi akimuuma Mbwa huwa ni mkosi, we are still on top of the list.....
 
LOL nimepotea njia nataka kwenda kutoa pole Stamford Bridge kuna msiba mkubwa sana na Abram o vich yuko taaban bin mahututi. Acheni lote alikula kibao kutoka kwa mtoto mtundu wa Ever Sa ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Mafioso walichelewa kutoa fweza wakifikiria watabebwa kama kawaida yaao. khe khe khe khe
 
Tumia ID moja wewe mbuzi uliyemuuma Mbwa!
 
article-1250086-083C64A6000005DC-290_468x413.jpg

Ashley Cole tangles with Everton's Tim Cahill but later came off injured

Mbuzi akimuuma Mbwa huwa ni mkosi, we are still on top of the list.....

.......he!he!he!he!eeee...njia yenu si nyeupe kivile......mko na Man U, Looser fools.....hapa lazima huyo mbuzi awa-doooooooo!
 
.......he!he!he!he!eeee...njia yenu si nyeupe kivile......mko na Man U, Looser fools.....hapa lazima huyo mbuzi awa-doooooooo!

Teh teh teh teh teh we got 6 pts and 5 goals from Fat Arse, who else can stand that?
 
Teh teh teh teh teh we got 6 pts and 5 goals from Fat Arse, who else can stand that?

Leo utajijua mwenyewe naona unapata taabu sana maana wenzako wote wanaona aibu wanachungulia tu na kunywa maji. Nimekuuliza hapo juu umebaki kuruka ruka kama kunguru.
 
Leo utajijua mwenyewe naona unapata taabu sana maana wenzako wote wanaona aibu wanachungulia tu na kunywa maji.

Ukweli utabaki 6 pts and 5 pts......we are on top ama vipi mazeee.......kuna lijamaa hapa linataka niparamia hahahahaah hongereni mazee kufunga nyamafu!
 
Teh teh teh teh teh we got 6 pts and 5 goals from Fat Arse, who else can stand that?

.......aaah bana ww usijikaze kisabuni, 6pts aren't a thing......! mbona we got 6 as well kutoka loooooser fools? .....tunasema u still have red devils mazeeeee....njia yenu nyembamba sana..........!

Looooooouuuuuuuuiiiiiiiiiissssssssss Saaaaaaaahaaaaaa!
icon10.gif
icon10.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom