Wenger anamwogopa sana Drogba ndio maana anajaribu kumponda kiaina kumpunguza confidence, lakini wapi jamaa ndio kwanza nawashikisha adabu!Mechi ile Arsenal walivyochabangwa 3 kwa mtungi, Wenger alisema ati hakuona kitu alichofanya Drogba.
Probably leo anaona vitu vinavyofanyika!
Hey Buddies!
Hats off, Congratulations. Drogba is simply 'the best African Import' kwenye EPL!.
I dont know mwelekeo wetu -'Arsenal' -baada ya hapa, lakini it seems it's a two horse race now, Manure na nyie...
Goodluck!
Hey Buddies!
Hats off, Congratulations. Drogba is simply 'the best African Import' kwenye EPL!.
I dont know mwelekeo wetu -'Arsenal' -baada ya hapa, lakini it seems it's a two horse race now, Manure na nyie...
Goodluck!
Mkubwa naona unazunguka sana tatizo ni Arsenal WengerTatizo la Arsenal ni kwamba hatuna washambuliaji wa aina ya Wayne Rooney na Didier Drogba.hivi vitoto tulivyonavyo vinarukaruka tu pale mbele(Arshavin na Walcott hakuna lolote wanalofanya angalau Nasri kwa mbaaaaaaaaaali kajitahidi hii 1st half)
Mabeki Vermaelan na Clichy wamekuwa tatizo tangu mechi na Man Utd,wamelegea sana tofauti na Sagna na Gallas,wanatakiwa kubadilika
Kwa upande wa kiungo wamecheza vizuri sana hawa Song,Diaby na Fabregas,wamejitahidi sana na wanajaribu kupeleka mipira mbele lakini ndo hivyo hatuna washambuliaji tulionao wanacheza sana ule mpira wa 'anao anao' nadhani lengo lao ni kumpiga kwanza chenga kipa ndo wafunge magoli(nammiss sana Robin Van Persie),nadhani Wenger atajifunza hapa na ubahili wake,anatakiwa asajili washambuliaji wazuri na wenye nguvu(kama Rooney na Drogba)
Kipa ndo bure kabisa,hawezi kabisa kuji'position' pale langoni kafungwa magoli ya kijinga(hata kama ni uzembe wa mabeki),hajui kukaa vizuri golini...Sijui kwa nini AW anambania dogo Vito Manone
Ni bora AW amtoe Walcott amuingize 'kumbakumba' Bendtner yeye anaweza kufunga maana hajui chenga wala nini so hujaribu kufunga hata kwa mbali
Otherwise Arsenal tutegemee kufungwa magoli mengine kipindi hiki cha pili kama tutaendela kucheza mpira huu wa kibishoo
Hongereni sana Chelsea,mmepata nafasi mmezitumia ipasavyo na wala hamtaki marangirangi wala nini
I dont know mwelekeo wetu -'Arsenal' -baada ya hapa, lakini it seems it's a two horse race now, Manure na nyie...
Mbu,
Usife moyo mkuu, bado mna matumaini kidoooogo! - gap la 9 points sio kubwa sana
BUT - kama Liverpool watawakaanga (most likely) na sisi tukawachapa Everton (most likely) na Man U wakaendeleza moto wao kwa Aston Villa (most likely), THEN Arsenal will be out of it!
Zzzzzz Bluezzzzzz!!!!, hongereni jana kwa kuwapiga vibonde Arsenals, as i said b4, mda wa ngoma ya watu wazima umefika, ni sisi na nyie, ila nasikitika kuwaambia kuwa, kama ilivyokuwa msimu jana, msimu huu pia mtakuwa wasindikizaji tu.
Who want to bet with me?
Kaka hapo umeongea point - watoto walale - saa hizi time mbaya tubaki sisi wazee -
Mafahali wawili - ha ha ha ha - mwaka huu tunaipeleka hadi kwenye wayaa.
Asenali, liva wasubiri mwakani -
Ila kaka Kumbuka UEFA mtoano unanukia - isije ikawa Tia maji Tia maji----