Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Awaondoe wale wazee kule nyuma, Iva, Terry.
Ila wachezaji wanaweza kuwa wanafanya mgomo baridi....
Nimeangalia mechi moja tu toka msimu uanze maana naogopa kuona magoli yakiingia

Hilo La mgomo pia linaweza kuwepo......! Kwasababu mambo mengine ni uzembe aiseeeee.
 
Nikikumbuka walivyomfanyia AVB naona wanataka wafanye hivyo tena..
Ila timu yatakiwa badilika kabisa Costa sijaona effect yake hadi sasa zaidi a goli moja....
Iva kachoka tayari aondolewe Azi acheze kule.... uchochoro mwingine ni oale kati ... nadhani tuachane na 4-2-3-1 hii tuiache kabisa bora tucheze 4-3-3
 
Asante kwa maoni yako mazuri, ila labda nikufahamishe vizuri, kila kocha anakuwa na mfumo wake wa kujenga timu na pia anakuwa na mfumo wake wa ushindi,

Kwa Mou, timu yake inaanzia kufunga/ ushindi kutokea kwenye defence, na ndio maana unakuta madefender kama Terry au Inanovic wana magoli mengi kuliko mabeki wote wanaocheza EPL, na hata kama umechunguza vizuri mara nyingi Chelsea wanapenda kutumia Striker mmoja tu na wanaweza kuwa zaidi kama hali sio nzuri

kwa Muktadha huo, baadhi ya wachezaji wa Chelsea hawawezi kucheza vizuri kwa sababu ya kulegea kwa mfumo wa ulinzi, Fabregas hawezi kupata support nzuri kutoka kwa Matic kwa sababu Matic sasa ndio amekuwa kama namba nne, Hazard hawezi kucheza kwa sababu Terry na Inanovic na Fabregas hawachezi kwenye kiwango chao,

kama ulishawai kuichunguza Chelsea vizuri, last season Fabregas alikuwa anacheza kama mchezaji huru kiwanjani, Terry na inanovic walikuwa wako kwenye form, hivyo Matic likuwa anapanda vizuri na fabrigas alikuwa anafungua na kujikuta yupo huru kila saa na ndio maana alitengeneza magoli mengi kwa sababu alikuwa na muda wa kujipanga na mpira

shida kubwa ya Chelsea kwa sasa ni beki wa kati, ukiangalia vizuri Zouma, Terry na Cahill wote wanacheza almost namba moja yaani wote ni watu wa mwisho, so combination yao haiko perfect, Zouma anaweza kupanda kidogo, lakini Nafasi ya Terry na Cahill lazima atafutwe mtu, hilo Mou kaliona na analifanyia kazi usiku na mchana

defence ya Chelsea ikitulia na timu nzima itacheza mpiara maridadi mliouzoea kuuona na furaha yenu wote watu wa Man U, Arsenal, Liver ya kuona kabumbu murua itarudi palepale

tunawaomba radhi sana kwa usumbufu mnaoupata kwa sasa

Mkuu Kituko jambo jingine nililoliona ni kwamba Faby amechoka na Mourinho anapaswa kumuanzisha Matic na Obi pale kati alafu Faby na Oscar wacheze nyuma ya Striker wakiwa wanapokezana! Hii itasaidia beki kua imara kwa wakati huu! Alafu Hazard aanzie benchi na Pedro na Willian wawe wanaanza!

Costa akae benchi aanze Remy au Falcao.

Huku ktk beki nashindwa kuelewa kwanini Mourinho bado anampanga Ivanovic badala ya Azpilicueta na Baba ktk nafasi zao?
 
Last edited by a moderator:

Kuna mgogoro ktk timu na haya matokeo yanavyozidi kua mabaya basi moto ndio unazidi! Lkn Mourinho hawezi kufukuzwa kirahisi maana mpk sasa wachezaji ndio wanaofanya madudu.....

Mfumo tucheze huo huo lkn hapo kati kwa Matic na Faby wapangwe na Obi na si Faby
 
Ntuzu sikuwezi Lol........Leo umekuja na gia ya mgogoro duh!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu sikuwezi Lol........Leo umekuja na gia ya mgogoro duh!!!!

Hawa wauza unga usiwajali kabisa hawana mpira ni mieleka tu na basi walilokuwa wanapaki bado lipo garage, watakiona cha ntema kuni khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
2BC61CC700000578-3215342-image-a-81_1440863190621.jpg

Chacha na mimi nifanyeje ..... Wacha Romano aone menyewe ...

2BC6294A00000578-3215342-image-m-103_1440864191864.jpg

Jamani bado nataka hiki kibarua, Wacha nipige ukelele ...

2BC5AA4E00000578-0-image-a-52_1440860537850.jpg

Weak link Cesc khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

2BC4767600000578-0-image-a-40_1440859536050.jpg

Get off me .... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee

2BC486D500000578-0-image-a-56_1440860964042.jpg

Moureen anawewesekaweweseka hapa khe khe kheeeeeeeeeeeeee

2BC5A93000000578-0-image-a-51_1440860504817.jpg

2BC4773900000578-0-image-a-27_1440859071323.jpg

Unapoichema Chelsick unaniumiza weye ..... ..
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Na Bado mwaka huu watakonda tu.
 
Acheni kusingizia mgogoro kubalini mmefungwa....Msimu huh kwenu una dalili za majanga !!!!!!
 
Asante kwa maoni yako mazuri, ila labda nikufahamishe vizuri, kila kocha anakuwa na mfumo wake wa kujenga timu na pia anakuwa na mfumo wake wa ushindi,

Kwa Mou, timu yake inaanzia kufunga/ ushindi kutokea kwenye defence, na ndio maana unakuta madefender kama Terry au Inanovic wana magoli mengi kuliko mabeki wote wanaocheza EPL, na hata kama umechunguza vizuri mara nyingi Chelsea wanapenda kutumia Striker mmoja tu na wanaweza kuwa zaidi kama hali sio nzuri

kwa Muktadha huo, baadhi ya wachezaji wa Chelsea hawawezi kucheza vizuri kwa sababu ya kulegea kwa mfumo wa ulinzi, Fabregas hawezi kupata support nzuri kutoka kwa Matic kwa sababu Matic sasa ndio amekuwa kama namba nne, Hazard hawezi kucheza kwa sababu Terry na Inanovic na Fabregas hawachezi kwenye kiwango chao,

kama ulishawai kuichunguza Chelsea vizuri, last season Fabregas alikuwa anacheza kama mchezaji huru kiwanjani, Terry na inanovic walikuwa wako kwenye form, hivyo Matic likuwa anapanda vizuri na fabrigas alikuwa anafungua na kujikuta yupo huru kila saa na ndio maana alitengeneza magoli mengi kwa sababu alikuwa na muda wa kujipanga na mpira

shida kubwa ya Chelsea kwa sasa ni beki wa kati, ukiangalia vizuri Zouma, Terry na Cahill wote wanacheza almost namba moja yaani wote ni watu wa mwisho, so combination yao haiko perfect, Zouma anaweza kupanda kidogo, lakini Nafasi ya Terry na Cahill lazima atafutwe mtu, hilo Mou kaliona na analifanyia kazi usiku na mchana

defence ya Chelsea ikitulia na timu nzima itacheza mpiara maridadi mliouzoea kuuona na furaha yenu wote watu wa Man U, Arsenal, Liver ya kuona kabumbu murua itarudi palepale

tunawaomba radhi sana kwa usumbufu mnaoupata kwa sasa

Matatizo ya Chelsea yalianza msimu uliopita na baada ya kuchukua ubingwa Morinyo aka-relax kabisa,tulisema last season kocha alipaswa kufanya rotation kuwapa nafasi wachezaji wengine kuwasaidia wengine kupumzika na sio kuwekwa strong starting 11 kwenye mechi zote hadi za Capital One.Chelsea iliundwa na backbone ya wachezaji 6 (JT,Azpi,Matic,Fabregas,Hazard na Costa) mmoja alivyokosekana timu inayumba sana,hata game ya kwanza kupoteza msimu uliopita Matic hakuwepo .Msimu huu inaonekana kabisa Matic,Cesc,JT,Cahill,Ivanovic na Hazard wamechoka

Chelsea ni timu kubwa inapaswa kuwa na at least wachezaji 2 kwenye kila namba wagombanie namba umeona sub za jana (Kenedy,Falcao,Ruben) walivyoleta uhai licha ya kufungwa
,kocha anatakiwa afanye yafuatayo

1.Kujaribu kucheza 4-3-3 viungo wasaidie sana defence (Matic-Obi/Ramires -Cesc)
2.Kusajili wachezaji 3 RB,CB,CM/DM waje kuwasadia (JT,Ivanovic,Cesc)
3.Kufanya rotation (Remmy,Felipe Luis na Cuadrado ) hawakupewa nafasi ya kutosha
4.Remmy ana uzoefu na EPL huyu ndio awe msaidizi wa Costa Falcao apewe nafasi kwenye UEFA
 
kaka wewe tatizo uliliona wapi?, nisingependa uzungumzie penalt ya Zouma
Mimi tatizo nililoliona ni Chelsea kujaribu kucheza mpira. Nimezoea kuona Chelsea wakifanya uhuni wa kujiangusha angusha na kumlalamikia mwamuzi, kumzunguka mwamuzi na kutumia maguvu kama wanacheza mieleka. Kwa hiyo ni bora warudie mieleka tu na maigizo mengineyo na sio kujaribu kutandaza mpira mwanana. Jana pia walipunguza ku-park lile basi. Hayo ndio matatizo niliyoyaona mimi. Niseme tu kuwa nilifurahi kwa Timu ninayoishabikia kushinda kiustadi na kiufundi na iliweza kuisambaratisha Ze Buluuziiii.
 
Yule Dk halikua ni kosa!

Wachezaji ndio wenye matatizo.....waangalie vzr utaona kuna shida!

Ingekuwa vema timu ikasukwa upya km alivyoisuka msimu Wa juzi!
Awaondoe wale wazee kule nyuma, Iva, Terry.
Ila wachezaji wanaweza kuwa wanafanya mgomo baridi....
Nimeangalia mechi moja tu toka msimu uanze maana naogopa kuona magoli yakiingia

Nikikumbuka walivyomfanyia AVB naona wanataka wafanye hivyo tena..
Ila timu yatakiwa badilika kabisa Costa sijaona effect yake hadi sasa zaidi a goli moja....
Iva kachoka tayari aondolewe Azi acheze kule.... uchochoro mwingine ni oale kati ... nadhani tuachane na 4-2-3-1 hii tuiache kabisa bora tucheze 4-3-3

Mkuu Kituko jambo jingine nililoliona ni kwamba Faby amechoka na Mourinho anapaswa kumuanzisha Matic na Obi pale kati alafu Faby na Oscar wacheze nyuma ya Striker wakiwa wanapokezana! Hii itasaidia beki kua imara kwa wakati huu! Alafu Hazard aanzie benchi na Pedro na Willian wawe wanaanza!

Costa akae benchi aanze Remy au Falcao.

Huku ktk beki nashindwa kuelewa kwanini Mourinho bado anampanga Ivanovic badala ya Azpilicueta na Baba ktk nafasi zao?

Kipigo kimewafanya mchanganyikiwe kiasi hiki?
Leo mnataka kumfundisha Ze special one?

Mlijua huyu Ze special one kazi yake ni kwenda kwenye timu, kununua wachezaji kwa mahela mengi na kujisifia sifia baada ya misimu miwili mitatu anaharibu timu na kuleta mitafaruku halafu anahamia kona ingine.

Mou ni kawaida yake kuhuisha ego yake na sio kukuza vipaji vya wachezaji, anataka ready made na mafanikio ya haraka. Pochi inatumika kikufuru na hili linaua kabumbu. Sasa kabumbu inageuka ubishooo tu, mbwembwe tu.

Sasa mnataka timu isukwe upya? Na msukaji ni nani? Je Mou imemshinda kazi hiyo?

Ninyi bado mko pre-season bana, ngojeni preseason ishe ndio mtaanza kuona " a real result". Hizi za sasa ni "fake results".
Tulieni, kuweni na subira kuna Sisi washabiki wa Crystal Palace "ubingwa" kwetu ni kumfunga Ze Buluuzzzz na sio kutwaa ubingwa wa EPL. Kuna zile shabiki za majogoo na Arsenal wanasubiria kutwaa ubingwa kwa karibu muongo mzima , ninyi mnataka kutwaa ubingwa kila mwaka?
Kwani ninyi mna hati miliki ya ubingwa wa EPL?

Tulieni dawa iwaingie vizuri na mwacheni domokaya afanye kazi yake.
 
Matatizo ya Chelsea yalianza msimu uliopita na baada ya kuchukua ubingwa Morinyo aka-relax kabisa,tulisema last season kocha alipaswa kufanya rotation kuwapa nafasi wachezaji wengine kuwasaidia wengine kupumzika na sio kuwekwa strong starting 11 kwenye mechi zote hadi za Capital One.Chelsea iliundwa na backbone ya wachezaji 6 (JT,Azpi,Matic,Fabregas,Hazard na Costa) mmoja alivyokosekana timu inayumba sana,hata game ya kwanza kupoteza msimu uliopita Matic hakuwepo .Msimu huu inaonekana kabisa Matic,Cesc,JT,Cahill,Ivanovic na Hazard wamechoka

Chelsea ni timu kubwa inapaswa kuwa na at least wachezaji 2 kwenye kila namba wagombanie namba umeona sub za jana (Kenedy,Falcao,Ruben) walivyoleta uhai licha ya kufungwa
,kocha anatakiwa afanye yafuatayo

1.Kujaribu kucheza 4-3-3 viungo wasaidie sana defence (Matic-Obi/Ramires -Cesc)
2.Kusajili wachezaji 3 RB,CB,CM/DM waje kuwasadia (JT,Ivanovic,Cesc)
3.Kufanya rotation (Remmy,Felipe Luis na Cuadrado ) hawakupewa nafasi ya kutosha
4.Remmy ana uzoefu na EPL huyu ndio awe msaidizi wa Costa Falcao apewe nafasi kwenye UEFA

Kama hawatasajili key players wa kuirotate team, itayumba sana msimu huu.
Wana michuano mingi na wachezaji ni walewale kiasi kwamba any key player akiumia au akiwa benchi basi team inasuasua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom