Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nakumbuka nilishawah sema umu ndani kua Chelsea ni wabovu mkapinga sasa angalieni
 
Tumesahau kutoa salamu na pole kwa wafiwa......

Pole yangu kwa mpenzi wangu wa moyo Ntuzu pole sana sweet I lov u ni mpito tu, Mentor Mcharo wangu usiache kunifanya nipendeze pole sana darling halafu sweet nina ujumbe wako, kalou best yangu pole sana najua leo uko disappointed sana mpka uzalendo umekushinda ENZO pole sana Dogo langu huu ndo mpira banaaa!!! Piga kitabu Dogo....#All The blue fans poleni sana....

Da dadayetu leo uwanja wako huu, tamba mama, hongera yako kwa Chelsea kufungwa
 
Hahahhahhahahahhaha!!!!! Bahati mbaya tumeshaaga kesho nitakuja tudiscuss.

bora muage tu!' hata msirudi tena, kesho nitakuja mimi wakati nitakapokua swansea kwa mkopo ............ pacha ako cute b hajanipa pole!' na mimi kesho pole yangu simpi.
 
Last edited by a moderator:
2BC65D3000000578-3215342-image-a-106_1440864909357.jpg


Bado hatujaanza EPL ... ..

2BC6058B00000578-3215342-image-a-75_1440862355506.jpg


Wacha wajiendee zao ..... ...

2BC607C200000578-3215342-image-a-76_1440862387333.jpg


Wacha wafunge tu magoli si, Cech ameniloga ... .

2BC605CE00000578-3215342-image-m-77_1440862431893.jpg


Daktari alionekana akijiliwaza na kajibwa kake ....
wacha waendelee tu

2BC6253900000578-3215342-image-a-94_1440863485096.jpg


Jamani wacha-neni na kuwaumiza wenziyo


 
2BC61CC700000578-3215342-image-a-81_1440863190621.jpg


Chacha na mimi nifanyeje ..... Wacha Romano aone menyewe ...

2BC6294A00000578-3215342-image-m-103_1440864191864.jpg


Jamani bado nataka hiki kibarua, Wacha nipige ukelele ...

2BC5AA4E00000578-0-image-a-52_1440860537850.jpg


Weak link Cesc khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

2BC4767600000578-0-image-a-40_1440859536050.jpg


Get off me .... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee

2BC486D500000578-0-image-a-56_1440860964042.jpg


Moureen anawewesekaweweseka hapa khe khe kheeeeeeeeeeeeee

2BC5A93000000578-0-image-a-51_1440860504817.jpg


2BC4773900000578-0-image-a-27_1440859071323.jpg


Unapoichema Chelsick unaniumiza weye ..... ..
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Siku ya leo ushabikie Chelsea/Looserfool na CCM. Unajitafutia stress.
 
article-3215342-2BC641B800000578-133_964x390.jpg


Mwaka huu hawatashinda kitu hadi warudie
tabia yao ya kutoa brown envelopes ...
Romano anajifanya ati kasahau khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nakumbuka nilishawah sema umu ndani kua Chelsea ni wabovu mkapinga sasa angalieni

asern88 ndio wazima?!' ............. mshukuruni refa leo aliwabetia Arse888!' akawasaidia kumpunguza mchezaji ili mshinde!' sio unapiga kelele hapa kama mjane aliyedhulumiwa mirathi!' wakati timu yako ndio mbovuu.
 
asern88 ndio wazima?!' ............. mshukuruni refa leo aliwabetia Arse888!' akawasaidia kumpunguza mchezaji ili mshinde!' sio unapiga kelele hapa kama mjane aliyedhulumiwa mirathi!' wakati timu yako ndio mbovuu.

Najua the result was not really it was totally fake!! As a matter of fact nyie ni wabovuu Sanaa tu kibovu ni kibovu ndio mana fake!!! Inahusishwa point 4 kwa 7 different of 3 point claiming arsenal wabovu crystal palace sisi tumewapiga Newcastle wamekaa hivi wewe vip ilikua je?? See wewe ni mbovu tena a very mbovu of own kind yani mbovu mwenye reason behind ubovu wake 😂 😂 fake result!! 😂 😂 😂 blame on me 😂 😂 rentboy
 
bora muage tu!' hata msirudi tena, kesho nitakuja mimi wakati nitakapokua swansea kwa mkopo ............ pacha ako cute b hajanipa pole!' na mimi kesho pole yangu simpi.

Jamani hujaona? Nimekupa pole bhanaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mtaa yetu iko kimya sana leo, Tinamshukuru Cry. Palace kwa kuleta amani.
 
Ndugu zangu wapendwa. Ntuzu, Mentor, Kalou na zile mashabiki za msimu.

Kwa upendo wote namiombeni mje jukwaani mtoe uchambuzi wa mechi ya leo.

Nini kimeenda kombo? Nini Mourinho afanye?

Kupoteza mechi mbili tu inaweza kuwa ni changamoto nzuri tu. Msimu una mechi 38. Zimebakia 34.

Rudini hapa bana, tuongelee kabumbu, kandanda, mtanange na maumivu ya kutandikwa viboko nyumbani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom